Duration 40:11

MORNING TRUMPET | | Namna ya kulinda afya ya akili mwishoni mwa na mwamnzoni mwa mwaka

905 watched
0
14
Published 24 Dec 2021

Unapofika mwishoni mwa mwaka watu wengi hukabiliwa na msongo wa mawazo kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya matumizi ya lazima ya fedha na mali sambamba na mahitaji ya kijamii. Hilo huendelea hadi mwanzoni mwa mwaka na ni muhimu kwa kila mtu kufahamu namna ya kuilinda afya ya akili. Hilo linawezekana kwa namna gani? Ungana na wataalamu wa saikolijia ndani ya Morning Trumpet kuweza kufahamu mengi.

Category

Show more

Comments - 0