Skauti Mkuu Hajjat Mwantumu Mahizza amesema iwapo kila mmoja akichukia rushwa na kutekeleza wajibu wake nchi itabadilika.
Skauti Mkuu amesema hayo jijini Tanga leo Jumatatu Oktoba 25, wakati akizindua mafunzo ya Mwongozo kwa Wawezeshaji Kufundisha Vijana wa Skauti kuhusu kuzuia na kupambana na rushwa.
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for Skauti Mkuu anena mazito mkoani Tanga: