Duration 42:20

LIVE | MAAJABU MENGINE YA REGINALD MENGI

9 243 watched
0
60
Published 30 Oct 2018

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, #Reginald Mengi amekuja kivingine kwa kuanzisha kiwanda cha kutengeza na simu mpya za kisasa (smartphone). Simu hizo zitakujulikana kama 4G X1. Kiwanda kitaanzishwa ndani ya siku 90 zijazo na kitaajiri idadi ya watu 2,000. #KwanzaHabari

Category

Show more

Comments - 14