Duration 1:16:20

USHUHUDA WA MZEE WA KANISA ALIYEPEWA UJUMBE MZITO NA MUNGUTuache dhambi Yesu anarudi karibuni

83 274 watched
0
881
Published 25 Mar 2021

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :- 1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii https://chat.whatsapp.com/Cm8cBgjxQhMAQyWuwVYa9x 2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii https://chat.whatsapp.com/KOzwX8N7rqyDkA5Dyc9qkX 3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii https://chat.whatsapp.com/EhBM3Od8c1BCsJSZiD94Mg Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Category

Show more

Comments - 524
  • @
    @josephinemsekwahalidkijang51833 years ago Aisee jina la Yesu lihimidiwe anachosema huyu mama ni kweli kabisaa , inyakuo umekaribia watu wa Mungu. Mimi pia nimesemeshwa na Mungu kuhusu huu unyakuo, watu wa Mungu mda umebaki mchache sana tubadilike ,BWANA YESU ASIFIWE MNO AMEN. ... 52
  • @
    @salomekyamba18203 years ago Ni kweli Mimi pia mwaka huu nimeota YESU Anarudi sijawahi kuota nyakati za mwisho ni mwaka huu Kama mwezi umepita watu watubu na kumpokea YESU kuhubiri injili na kuishi maisha matakatifu sawasawa na neno la MUNGU jehanamu inatisha ... 12
  • @
    @jenifamuia22863 years ago Ujumbe mzito kutoka kwa Mungu.wacha tutubu dhambi zetu yesu yu karibu kuja.🇰🇪🇰🇪🇰🇪kenya 21
  • @
    @waithirajohnny65023 years ago Na mshukuru mungu kwa huu ujumbe...natamani sana kuwa na rafiki Kama huyu mamangu... Hii ndio ombi langu.🙏 15
  • @
    @liesharehema51933 years ago Mama sauti yako inafaa imfikie kila mmoja maana siku hizi watumishi wangu wanapaka mikorogo wanaweka makope makucha manywele yabandia yaani nimambo yakushangaza sana mungu turehemu 8
  • @
    @romanajohnmkwama58503 years ago Nimepokea ujumbe huu kwa makini mungu naomba unisamehe zambi zangu na niishi maisha yanahokupendeza, Asante kwa mafundisho haya 5
  • @
    @decemberachieng74883 years ago Halleluyah...I thank God am in the right church UPC KAWANGWARE..Under Rev.Silus Mukunzi.nimejifunzi duniani nikuacha dhambi kutubu na kuomba kila wakati...In 2017 i also saw Jesus in clouds...He is coming soon May You God remember me Ukirudi🙏🙏🙏 ... 2
  • @
    @ivonaevarista46543 years ago Aliye na Roho Wa Mungu Wa kweli atamuelewa Mungu anavotwambia kumtumia mama etu,asante Bwana Yesu kwa kuzidi kutujali na kutupenda watoto wako,Baba usituache tusaidie tusikutende dhambi kamwe,,yaaji huyu Yesu nishanuia moyoni sitokaa nimuache kamwee.asante kaka jack and prom tv. ... 10
  • @
    @dhg12453 years ago I love your word mummy, u serve a living God 🙏🙏🙏🙏we surrender everything to follow Jesus, 😭😭😭😭getting you from Kenya 🇰🇪 8
  • @
    @kimsamespa84903 years ago Tokea 1992 bado umeshikilia wokovu hujarudi nyuma 😭😭😭 kweli lazima Mungu aongea nawe naulivyo kaa munyenyekevu na mavazi yako nikielelezo tosha Mungu anakutumia 23
  • @
    @misigarojustine3357last year Amina Yesu Kristo hataacha kondoo wake watawanywe na mbwa mwitu 2
  • @
    @florarog5483 years ago Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa kutushirikisha ujumbe huu mzito. Ee Mungu tusaidie watoto wako usituache!!! 3
  • @
    @annamwaipopo94853 years ago Tarehe 28 mwezi wa pili mm ndio nimejifungua asante Mungu kwa neema yako na asante mtumishi nimebsrikiwa na Mungu anirehemu maana mm n mkosaji 6
  • @
    @psalm23313 years ago Mungu nisamehe makosa yangu yote nami nikutegemee wewe tuu mpaka utakaporudi yesu. 21
  • @
    @gosbertmuta54213 years ago Asante Sana bwana yesu huu ujumbe naupokea ktk jina la YESUKRISTO 3
  • @
    @floraalex-id9wnlast year Ubarkiwe mama kwa kutupatia maneno ya mungu 1
  • @
    @maryamayitsa61813 years ago Alieye na maskio askie roho ana nena na kanisa, na kufuatilizia nikiwa Kenya 🇰🇪 mungu tunakuhitaji. 28
  • @
    @evekikweshanicco40533 years ago Da! Uyu mama anaongea kabisa kutoka moyoni!mungu nisaidie kuna maisha baada ya kufa nitakuwa wapi? 7
  • @
    @tamaraeliz71143 years ago Mungu asante kwa Ujumbe huu. Mungu nisaidie nimalize mwendo salama na niione mbingu. Asante Yesu. Jacktan Barikiwa sana. Na group yote ya Promover TV 📺 🖥 Asante Yesu 4
  • @
    @pendoemmanuel88812 years ago Hayo na Mimi nilifunuliwa na Mungu kurudi kwa Yesu. Chanjo za korona. Hata kuunguzwa Moto dunia 2
  • @
    @sarahmdindile43013 years ago Asante yesu kwa kutupenda na kutufunulia siri hii ,kuanzia Leo sitaki tana kuvaa mawigi wala kusuka rasta aina yoyote ile. 8
  • @
    @user-jx8no2td9c10 months ago AMEN 🙏🙏🙏 mungu ni mwema Mungu akubariki mummy Kwa ujumbe huu naomba Mungu atusaidie ili tuweze kuyatenda magizo yake🙏🙏🙏
  • @
    @nancynancy18023 years ago Tuombee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mama umenijenga sana karibu Kenya Waambie ukweli mama. Uwahubirie injili ya ukweli kabisa. 8
  • @
    @meypaulin61383 years ago Ee mungu nipe moyo wa uvumilivu nikutumikie wewe nikujue wewe nikupende niwe na Imani ya kweli niepuushe na tamaa za dunia nizitii amri zako mungu na mwsho nifike kwako mbinguni Amina 3
  • @
    @vumiliawambula17163 years ago Amen mtumishi Ubarikiwe sana Mungu nisaidi nipe neema na mwisho mzuri 3
  • @
    @valenakomba76863 years ago Amen, Asante sana ndugu kwa Imani yako na Upendo wako kwa Mungu. Natunakushukru pia kwa maombezi yako yenye faida. 4
  • @
    @mayrialz83713 years ago Hayo ni ya ukweli kabisa,😭😭Mungu tuhurumia na utusamehe dhambi zetu🤲🤲 4
  • @
    @rechoward39413 years ago Mungu awabariki kwa huduma hii njema. Mtumishi wa Mungu, ubarikiwe. Nimebarikiwa sana. Ushuhuda huu utanitoa mahali fulani na kunisogeza kwa Baba Mungu zaidi. 2
  • @
    @michaelyohana44673 years ago Ahsante sana mtumishi wa MUNGU jaktani kwakuendelea kutupa shuhuda mbali za neno la MUNGU kwakweli ubalikiwe sana kazi yako sii bule sikumoja BWANA atakulipa pia ahsante sana mama kwakutufikishia ujumbe huu ubalikiwe Sana mtumishi wa MUNGU ... 2
  • @
    @emmyroseissack53313 years ago Mungu akubariki promover tvkwa kutufikishia ujumbe huu kutoka kwa mtumishi alie tumwa na mungu atufikishie ujumbe huu ubarikiwe sana 🙏🙏 2
  • @
    @leahdaniel2713 years ago Ni kweli kabisaaa kuna siku nimejitayarisha kwenda dukani nilpoanza kuomba gafla nilijihisi kufadhaika Sana ndipo nilipoambiwa unyakuo umekaribia watu watubu nililia. Sana kwani niliambiwa mda umebaki kidogo Sana YESU anarudi upesi ... 10
  • @
    @lioncoin3 years ago Asanti Yesu Kristo kwa yote uliyotufanyia Usifiwe milele AMINA 2
  • @
    @mariachombo73163 years ago Amen barikiwa Sana Mama kwa ujumbe,, naomba nijuze unaposali nami nipokee 2
  • @
    @Fungaming-tb2kp3 years ago Mungu nisaidie niwe na mwisho mnzuri Baba kwajina la Yeah Mama Mungu akubariki Sana Tena sana kwakutu onya Amenmen 2
  • @
    @carolynemalungu7183 years ago Be blessed mtumishi wa mungu Asante sana 2
  • @
    @alifridahocharo3 years ago Thank you kwa Hilo neno LA Mungu my sister you resemble my mother who passed 15 yrs ago you speak like her continue kuhubiri the gospel of God may good bless you 4
  • @
    @horemow98323 years ago Ni ujumbe mzito kweli barikiwa Sana mtumishi wa Mungu, brother Jactan napenda sana jinzi anavyo uliza maswali hayo ya mapambo kweli watu wamepovuka, ni wengi wameitwa ila ni wachache watakaongia, ufalme wa mbingu unawateka wenye nguvu ... 4
  • @
    @billioneagervase89583 years ago Ameeen.Asante kwa taarifa.Jina la Mungu litukuzwe. 2
  • @
    @nicoletoroitich22563 years ago This is real. Be blessed for the massage 🙏 6
  • @
    @betrs52853 years ago Amen asante mungu kwa kunipa neema ya kusilikiza neno hili 3
  • @
    @poneandrew24613 years ago Mungu Baba naomba unisamehe dhambi zangu zote unipe nguvu ya kukutumikia unipe moyo mpya ee Bwana 4
  • @
    @sharonnasambu67533 years ago Nikushukuru munguu kwa neema hii na kibali ya mimi kuweza kusikiliza ujumbe huu asante kwa upendo wako kwangu... Natubuu dhambi zangu eeh mungu nihurumie 3
  • @
    @angelshio26173 years ago Mungu nipe Neema ya kutubu kila wakati 4
  • @
    @rozinamaleka2143 years ago Mungu akubariki mama kwa ushuhuda ee niwezeshe Yesu pekeangu siwezi 2
  • @
    @vickystellah31943 years ago Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu. Asante kwa ujumbe kutoka kwa Baba yetu aliye Mbinguni. 1
  • @
    @abelidoromi2303 years ago Mama Mungu akubariki kwa ujumbe wako wa Uamsho. Usiishie Tanzania tu, OMBA Mungu akupe kibali ili uvuke Mipaka ya Inchi yako pia. 1
  • @
    @flourishing_wilderness60725 months ago Kurudi kwa Yesu /the great day of the Lord yaweza kuwa unyakuo au kifo cha ghafla au polepole. Mkristo ajiandae maana hali tunaiona ilivyo 1
  • @
    @neemanzengele71693 years ago Amen mtumishi ni kweli kabisa unachokisema huu ni wakati wa watu tumgeukie Mungu. 2
  • @
    @emanueldalali71843 years ago Na mshukuru Mungu kwa kuusikiliza ushuhuda huu Asante mama kwa kuitii sauti ya Mungu 1
  • @
    @berthamataba54893 years ago Asante Mungu. Asante dear mama. Mwenyezi Mungu atusaidie tuitii sauti yake. Mungu anatupenda sana anataka tuache dhambi kweli ili tukaishi nae milele. 1
  • @
    @jeaninekabano91903 years ago Ubarikiwe Nabii wa Mungu kwa upendo wako mkuu kweli Yesu anarudi tuache dhambi zote kwa maana hakuna kisichojulikana na hakuna lisilowezekana kwake tukiamini naomba Namba ya simu ya huyu Mtumishi Mungu akubariki🙏♥️ 4
  • @
    @carolyneoirere47483 years ago Amen mm nilifunguliwa nkiwa uarabuni naomba sana Roho wa Mungu niongoze kwa kanisa yenye kumuabudu Mungu kwa roho na kweli nikirudi kenya 1
  • @
    @sanifhesro21693 years ago Amen Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa saana🙏 2
  • @
    @rosepeter89963 years ago asante sana mama mungu na akubariki🙏ujumbe wako umenibadilisha kwa kiwangi kingine ki imani.barikiwa sana na mungu atusamehe makosa yetu na atuokoe.kweli kabisa tumgeukie mwenyezi mungu AMEN🙏
  • @
    @DRIPPINGPAIN3 years ago WOOW JAMANI BWANA WETU YESU KRISTO 😭😭💞💞💞🙏🙏🛐 2
  • @
    @mwikalinaomi83643 years ago Thank you mama. Help us God to change our ways and come back to you. We are sinners please forgive us and remember mercy. 3
  • @
    @monicasada54173 years ago Eehh Mungu nisaidie niliwish neno Lako naunisamehe Mungu kwa maovu yte niliyotenda nijuwe Yesu unarudi kuchukuwa kanisa lko... Yesu nitenge na dhambi za dunia 1
  • @
    @angelshio26173 years ago Mama Mtumishi Mungu azidi kukutumia na akupe neema ya kuuambia ukweli 2
  • @
    @ashleymechack50373 years ago Ubarikiwe sana maman na Mungu atusaidie atufunguwe macho. 2
  • @
    @michaelangwenyi57283 years ago Glory to God for His unfailing love. The word of prophecy has come true......Joel 2
  • @
    @gosberthsonialine43593 years ago Barikiwa sana mungu akusaidie katika hili ujumbe ufike ulimwenguni kote 1
  • @
    @flm15303 years ago Mungu akubarik mtumish ni wa kwel kbs huu ushuhuda 1
  • @
    @veronicastanley39553 years ago Ujumbe umenigusa saana. Barikiwa sana Mama mtumishi wa Mungu. 1
  • @
    @mwikalijoeephine15223 years ago Power of revelations through holy spirit.
    That how is in spirit, mum live that life of spiritual
    1
  • @
    @jeressjohn91053 years ago Asante Yesu kwakunipa Neema ya kuona video hii naamini huu ni ujumbe wakweli Yesu tusaidie kushinda dhambi from Pakistani 5
  • @
    @lovemajogolafia583911 months ago Oooh God give me the grace to remain 🙏 1
  • @
    @geofreymaghali1833 years ago Mungu aendelee kusema na kanisa lake kupitia wewe mama yetu, Tujue jinsi ya kuhesabu hatua zenu tuishipo hizi nyakati za mwisho 1
  • @
    @helenbahati80383 years ago Amen JINA la BWANA lipewe sifa asante kwa ushuhuda mama mtumishi wa Mungu 🇰🇪🙏🙏
  • @
    @jamilaezekiel61743 years ago Mungu ni mwema asant kwa ujue tunamshukulu kwa kutukumbusha 1
  • @
    @janetnzai76593 years ago Amina ujumbe mzima, nimesambaza tayari si mzaha Yesu yu tayari Kuja kulinyakua kanisa 3
  • @
    @malaikamedia83233 years ago Amen nimebarikiwa na nimesikia na kuamini Kristo anakaribia kuja
  • @
    @fedhajoseph76873 years ago Tunashukuru sana kwa ushuhuda mzuri
    Wakutia moyo.