Duration 2:32

Polisi muda huu wanapiga mabomu na risasi za moto wananchi huko kahama kwenye hotel alipofikia Lissu

2 947 watched
0
33
Published 12 Oct 2020

#Uchaguzi2020 #Lissu2020 Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto. Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa Hospitalini Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA, Tumaini Makene amesema "Very sad! Polisi Kahama, wanatumia silaha, yakiwemo mabomu kuwatawanya wananchi wa mji huo waliokuwa wanamsindikiza kwa amani Mgombea Urais wa JMT wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenda hotelini baada ya mkutano wa kampeni alioutumia kuwasalimia maelfu ya wanaKahama" @ChademaTv

Category

Show more

Comments - 9