Duration 7:6

BENKI YA DUNIA YAITANGAZA TANZANIA KUWA NCHI YA KIPATO CHA KATI, DK MPANGO AMPONGEZA RAIS MAGUFULI

3 322 watched
0
25
Published 1 Jul 2020

Benki ya Dunia imeitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi Tano zilizotangazwa katika bara la Afrika kuwa nchi za kipato cha kati kutokana na uchumi wa nchi hizo kuendelea kukua

Category

Show more

Comments - 17