Duration 3:28

HOFU YA MAAMBUKIZI YATOLEWA

58 watched
0
1
Published 9 Jan 2021

Hofu ya maambukizi ya Corona shuleni katika eneo bunge la Changamwe imeondolewa baada ya mbunge wa eneo hilo Omar Mwinyi kupeana viyeyuzi, maski na sabuni katika shule za umma eneo hilo.

Category

Show more

Comments - 0