Duration 4:47

NCHI YA AHADI KALA JEREMIAH ft ROMA (official video)

2 888 996 watched
0
16.1 K
Published 19 Jun 2015

HipHop

Category

Show more

Comments - 919
  • @
    @LilmmyCrazyfficial2 months ago Wewe kama Ni miongoni Mwa watu? Wanao tizama huu? MZIKI MWAKA 2024 Basi gonga LIKE HAPA. 😅😅😅
    I REMEMBER THIS SONG “” NCHI YA AHADI”” from. KALA JEREMIAH AND ROMA ❤❤❤❤
    32
  • @
    @rukiaiddyyahaya95065 years ago Hawa ndio Wasanii wa Tz waonaotoa uhalisia Wa maisha yetu, Roma, Kala, ney, stamina, hiki nakiita kizazi cha profesa Jay mtu unajua yes jamaa alikaaa kupanga mashair nipe like kama umenielewa 181
  • @
    @munaahmed84994 years ago Nani anaangalia hii 2023 kam mm naomba like tujuane hapa❤💗 161
  • @
    @OmariRa-by1hh5 months ago Wangapi bado wana hangalia huu? Mziki mwaka 2023. Kama wewe bado unaangaliya basi gonga like hapa twende mbele ❤❤❤ 15
  • @
    @stephanokigosi41025 years ago Kama unakubali nyimbo za kala hazichuji gonga like hapa(December 1 2019). 132
  • @
    @najmalukali6966 years ago Kala
    Wemkali
    Mungu
    Aendelee
    Kukuongoza
    Muheshimiwa
    Anajua
    Kujitetea
    Huyo
    43
  • @
    @damianmakala29135 years ago Nani bado anaikubali ngoma hii kama mimi ndani ya 2019 !!! Kala J 478
  • @
    @allan37238 years ago KWELI WATANZANIA NI VIPOFU.HAWA JAMAA NI ZAIDI YA KINA DIAMOND NA YAMOTO BAND 516
  • @
    @brianfeel35708 years ago mad madd ;love from Kenya tuko nyuma yenyu wazito wa bongo 89
  • @
    @Ibrah287last month Hawa jamaa ni noma sana... This is how HipHop it is! Yaani inaongelea uhalisia wa jambo lililopita, lililopo na la wakati ujao... Since 2015 and now it's 2024 😢 1
  • @
    @yahcanonbenisrael6507 years ago ROMA na JEREMIAH twawahitaji Bungeni mwakilishe sauti za Wanyonge. 254 Maaaad Respect👍👍 118
  • @
    @younglaizers3307last year Wanao rudi kuiangalia hii ndani ya 2023 gonga like 5
  • @
    @daudimalangu17085 years ago Kama unaitazama nyimbo hii 2019 , bhass like hapa twende sawa 26
  • @
    @jamesbaya69194 months ago Huu wimbo unachora picha kamili ya kenya ya leo 3
  • @
    @zakariakalinga27796 years ago ebaneee sjawahi kuangalia vitu vya Kalla lakini livyoona ilee na Natabili basi nikaamua kuangalia nyimbo zake zoteee 62
  • @
    @bakarikayugwa32954 years ago Jamani Kama unaona ngoma hiii bado inaishi kwa kizazi hichi na kijacho tafadhali gonga like hapo chini 8
  • @
    @DanielMelau-fl1xu4 weeks ago roma he never disappoint wish Kenya we got one like ROMA tuache kuwasikia waheshimiwa lakini hatuwaelewi🔥🔥🔥🔥🔥
  • @
    @filexmlay7518last year Kama unasikiliza hii ngoma 2023 tujuane hapa😊😊 1
  • @
    @thomasmaroa17792 years ago Duh umenikumbusha marahemu binamu yangu Jose aliyepigwa risasi mwaka 2011 ,RIP binamu 2
  • @
    @johnmwambasi229910 months ago Kama bado unaaangalia hiii ngoma 2023 kama mimi pita nikuone hapa🚶🚶🚶 1
  • @
    @josephndomba18954 years ago 5 years ago toka hingoma ilipoachiwa tunashukuru mungu tuka mpata rais mchapakaz kaya simamia yote yalio ongelewa kwenye hii nyimbo....2020 kapita ata Kama bado atujapiga kura 4
  • @
    @haridkapita72835 years ago bro we ni kiboko kama sio kiboko bas ni mamba 😃😃😃 we ni nomaaa 75
  • @
    @boazimagangalast year Kama umeirudia hii nyimbo 2023
    Gonga like tukutane 2025
    1
  • @
    @JujanaMusic2 years ago The real definition of a true African artist. The solemn duty is not only to entertain but also interrogate the state of society while starting meaningful conversations. Kongole. 22
  • @
    @TUMAINIELYMOSHI9 years ago Ngoma imekaa bomba sana jomba gud job bigup 73
  • @
    @EOSudi9 years ago Ngomaa safii kabisa!! hip hop halisi, imeniguza ikaniliwaza. Shukran' namrudishia  msanii kwa hii kazi ya umashuhuri. SWADAKTA 65
  • @
    @ogechilinus1last year Good content. Message iko juu. Uongozi mbaya umechangia maovu mengi 1
  • @
    @clivemuseveni77866 years ago Hata huku kwetu wako ivo tu 😀😀😀😀😀😀(Kenya)! 14
  • @
    @nahrich35452 years ago Tume miss ngoma hizi zaki harakati gonga like kama zoteee💣💣💣 4
  • @
    @johnsonmaranga96139 years ago Tanzania is so lucky to have such talent 58
  • @
    @idrisahmed12202 months ago Yani nyimbo ina miaka mi8 ila bado inamake sense mwaka huu 2024, cjui siasa za bongo zitakua zinaeleweka
  • @
    @ernestmbwana62823 years ago Tatizo la nchi yangu wanaoimba nyimbo zenye maadili na kuelezea ukweli hawapewi kipaumbele na hawadhaminiwi. Bali wanaoimba casual sex kidinyanyana uwasherati wanaonekana wamaana..
    This song is dope
    7
  • @
    @obedfwesa4 years ago From +254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 bado nipo hapa 2020 4
  • @
    @geoffreyembasa84836 years ago Extreme creativity and clear cut penetrating message.This is the state of Nairobi a thousand times 51
  • @
    @andersonjacob944711 months ago tunao angalia 2023 mwenzi wa5 gonga like
  • @
    @user-sf4lx6nh7s8 months ago Kweri mabomba Ni project ya mda mrefu, yaani mpakasasa mabomba bado, maxed 2023 1❤ love
  • @
    @nadhifajuma64854 years ago 2020 jamn tujuane kwa kudondosha like zenu APA🤙 65
  • @
    @kelvinzablon20903 years ago This is pure talent........Tanzania you have talent. I wish we had such in Kenya 10
  • @
    @zachariamatemba20042 years ago Nchi na viongozi wanapaswa kujitafakari sana na kuzingatia haki na usawa!,hali sio nzuri,mabadiliko ni muhimu sana,tuamke kifikra!..2022..
  • @
    @ishurwe2573 days ago Kama mpaka sasa unaishabiki 2025 shasha LIKE🔥☺️😂
  • @
    @elishapaulo48854 years ago Kama bado hunacheki ngoma hii adi 2020 ngoga like apa 5
  • @
    @monicamichael81195 years ago Nyimbo zurii mpka Raha sauti ipo juuuuuuu kwangu 7
  • @
    @vuvuzelajordankhasindu2963last month Weeee, hili ngoma kali sana. Ujumbeee uko top. Long Live. Peace.
  • @
    @mbodzebemasika74776 years ago Kama hawa 100...we had our Susumila wakamfunga akawacha..hawa hata uwateke utachoka 15
  • @
    @elvinhodasultan79762 years ago Kala Jeremiah na Roma mkatoliki big up xna watu wngu am your biggest fan from Kenya🇰🇪🇰🇪may God bless you two with more years ahead and I'll be very happy if I see you two collaborating and do more amazing song again 5
  • @
    @jeremiahromward67845 years ago Kama bado unaisikiliza na kuikubali hii ngoma nipe like za kutosha 3
  • @
    @shirahk66592 years ago Roma Niko Kenya unanifurahishaga sanaaa
  • @
    @manizobizness10523 years ago Huwezi Amini siku haimaliziki bila kuimba huu wimbo asee nawakaubali sana ndio mana hata watu hawaelewi rap yangu ni Kama Roma au Kala kila mtu ananidefine kipekee ... 3
  • @
    @hoseamligula80925 years ago Kama unakubali hii ni hit song Kwa mwaka 2019/2020 like hapa 43
  • @
    @Kingote-tq5ne11 months ago Allah awabariki kila nasposkiliz nakumbuka mbali na mateso yaliyopo now
  • @
    @24worldnewzupdates713 years ago Six years now kama bado unaicheki hii nyimbo na inakukosha gongs like 1
  • @
    @martinkilonzo1791last year This is the kind of talent we need in kenya currently. Viongozi wamewangeuka wapiga kura. Ahadi mingi za uhongo. Tanzania is lucky to have this talent. 5
  • @
    @vincentonyango38393 years ago All the way from Kenya and for sure I love hizi songs! 3
  • @
    @ashambarouk8794 years ago Dah 2020 ndo naitazama ii ngoma na bdo inaita kma umeikubali na wew weka like basi.. 1
  • @
    @Jenvier_jr7 years ago viva Roma viva you do good in hip-hop bro take this from me 100% god bless you with your family think you 😊💃👂🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊 25
  • @
    @munyarubugaismailally1112 years ago Maana halisi ya hip hop 🙏🙏🙏 blessing be up on you kala ad Roma 3
  • @
    @edimondmachoki20004 years ago Huyo c mweshimiwa....no..no..no huyu..ni mwizi wa miwa....lv it 😁😀 kutoka Busia Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
  • @
    @barakaemedy90093 years ago Nani bado anaikubali hii nyimbo 2021 🙌🙌✋👌
  • @
    @joombwambo93556 years ago Wakati wana hip hop wakiwa wanajielewa na waktumia vyema nafas zao ktk jamiii japo sasa atuwez walaumu sanaaa maana it need courage.
    Unawaza kaam mm?
    20
  • @
    @martinkithinji92678 years ago Mad love from Kenya... 37
  • @
    @MkambaMcoast3 years ago Nakubali mzito, show unaigonga Hadi naikubali
  • @
    @eagleeyemedia43 years ago Roma njoo Kenya bana .. Goma moto hili daaa
  • @
    @priscilakanyiva14415 years ago Hawa wanaume no noma xanah, nawatambua Kala Jeremiah na Roma. 8
  • @
    @shukuranimundu10 months ago Ujumbe unafika ata kenya mnatuokoa, big up
  • @
    @bonifasjohn61674 years ago Dha huu jamaa anafaa kuwa kiongozi mkuu wa dini au wa nchi maan sio poa🙏
  • @
    @Yegon2546 years ago Kenyans we need to ask our leaders of their promise during the last elections,ViVa Roma 14
  • @
    @djkusumaboy7843 years ago Vipiii vituu kupanda beiii mheshimiwa tuwekee wazii 2021
  • @
    @memwana19 months ago Asante sana mwanangu kwa kuuliza mwaswali muhimu! Its time for the sleeping giant called AFRIKA to wake up! Use our resources on our children instead of enriching western and other economies
  • @
    @tunuallen.43509 years ago unaedislike hii nyimbo hauna akili nzuri pia ndio adui wa kwanza wa Tanzania zaidi ya rushwa,umasikini na maradhi 277
  • @
    @mbunah2552 years ago Who still listen this masterpiece ? 2022 ♥️♥️ 9
  • @
    @dedydicosta89365 years ago hawa wasanii wanamaneno ety ikumbukwe maria alimzaa yesu bila ya yusufu what a best way to get out away with questions
  • @
    @addelineantony36224 years ago 2020 bado iko vizuri gonga like kama tuko pamoja 3
  • @
    @grantonjnrmaghanga58214 years ago Roma ...you are rocking the airwaves bro...big up.... 8
  • @
    @manenojames20114 years ago Nani ameludia hii nyimbo tujue kwa lake apa mwaka2020 2
  • @
    @ghettokingdalmas3248last month Kikao Cha Dharura-Proff Jay
    Jay must be proud of this
  • @
    @kishkahnim43956 years ago this music should be on top top. i love this and hope i will see more of this.. chiiiiaaaaazzzz.!! 7
  • @
    @januarymshana80155 years ago Bonge ya Ngoma 26/11/2019 Bado naisikiliza...kama tuko pA moja like yako... 2
  • @
    @desmondfelixageyo23632 years ago My love for kala j and Roma is extreme. Kudos from 🇰🇪 5
  • @
    @SaintAloha8 years ago THIS TRACK IS MORE OF REALITY ESP IN EAST AFRICA POLITICAL SCENE KWANZA APO KWA 'JEZI ZA MPIRA' .....MAD RESPECT FROM KENYA.... DO A TRACK WITH JOH MAKINI 6
  • @
    @Tiffany3404 years ago Haya nimekuja 2020,, twende sawa tutaheshimiana tu wamerudi majimboni sasa 2
  • @
    @menganyichacha96032 years ago Nan anaangalia ngoma hii 2022agonge like 6
  • @
    @denicegaudence10 months ago Kama bado unangalia huu wimbo leo hii mwaka 2023 nipe like zangu aseee😂🤕🤕
  • @
    @supervideostv78824 years ago Wagombea wote sawa tu na mweshimiwa hapo juu Tanzania nchi ya ahadi 1
  • @
    @nicasiusnicholaus87059 years ago I'm witnessing something great.... Keep it up Kala.. 27
  • @
    @musamusa77109 years ago wananchi muwe wbunifu, ikumbukwe maria alimzaa yesu bila yusufu...ajab bro 24
  • @
    @marcusshax49442 years ago Best tym listen to this jam expessially kenyans wen we about to elect and re elect our leaders