MAMBO MUHIMU yakuzingatia kuhusu: 1. Tendo la Ndoa kipindi cha UJAUZITO, 2. Mavazi: Nguo za kuvaa, Maumivu ya mgongo kwa MAMA MJAMZITO, Athari zake na jinsi ya kujilinda, 3. Mazoezi yakufanya wakati wa UJAUZITO.
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media
@fileteomdage7684 years agoNice explanation therapist god bless you. 5
@
@halimaothmann23524 years agoAsante dokta nimejifunza na maelezo yakomazuri. 3
@
@angelsylvester47953 years agoAhsante sana dr wewe uko wapi maana umetoa somo zuri sana mungu akubariki. 2
@
@cantcan16444 years agoHabar docta, nipo kilimanjaro mgongo unanisumbua. 4
@
@biscuits0013 months agoMi nlikuwa naumwa na tumbo miezi miwili mitatu nlishika shika nkawanaifanya kama naizungusha. Kumbe nlimzungusha mtoto akaangalia chini na miezi mitatu sijui kama n hatari akiwa hvo miezi yote.
@
@andrewmakwi51065 years agoDada asante me naumwa ivo miez 8 ya mimba nilienda napewa dawa za utihai t hosp he nifanje naumia adi mguuni. 4
@
@marwalzzy59834 years agoHata mm nina maumivu ya mgongo na ganzi. 3
@
@fatmahaji77762 years agoMm mjamzito kisha mtt anatulia juu ya kitovu tatiz nini nakupata choo cheusi.
@
@shamambonahuwekimuendelezo66592 years agoUmejitahidi dada lkn ulikua na ka presha.
@
@jolieelysee69253 years agoMama mjamzito kulala chaliwa mwezi inamazala? Pls nijibu docta. 5
@
@irenemnywele83605 years agoDocktar mm naumwa sana na tumbo tatizo nn pia mimba yangu ya kwanzaa hii. 16
@
@yunisgrayson28372 years agoMimi nakatazwa hata kutembea naambia nitakutana na vitu vibaya nipo kwa mama mkwe nimechoka ujauzito wangu unanituma kutembea sina usingizi mchana usiku. ...Expand1
@
@haithamshein77264 years agoMimo ni mja mzito na uke wng una maji mengi nifanyeje? 4
@
@amirmotors97356 years agoDawa gan anatakiwa amezee mama mjamzito wenye miez 4, mwenye ugonjwa wa akir. 7
@
@zainatoji19653 years agoMimi ninamimba mwenzio mmoja lakini naumwa sana na kiumo na mgongo tatizo nini. 2
@
@irenepeter90412 years agoMmh mfupi mbona mm mfup na nimejifungua kawaida.
@
@asiamark88415 years agoHlw doctor naomba kuuliza nna mimba ya miez minne ila uzito auwongezeki na presha inakua chini sababu ni nn. 5
@
@nyokarahim50804 years agoDoct mm nina mimba ya miez miwil lkn sasa nikienda choon natokwa na uchafu nimeenda hospital wananiambia mimba imeharibika lkn dam haitoki inawezekana kweli. 5
@
@andrewmakwi51065 years agoAraf kama nimeka nikiamka napata maumivu makali. 3
@
@fatimambaruku18333 years agoMm dokta kiuno kinaniuma mpaka nikiinama kuinuka ni shida pamoja na miguu kweny joint ya kiuno nifanyeje.
@
@sarahmuhinjo67462 years agoDk maumivu ninayo kwenye mgongo kutokana na ujauzito kwa nn sipati kabisa hamu ya tend la ndoa je hilo ni tatizo au kawaida tu. 1
@
@iqraamansoor46164 years agoNauliza eti kama mtoto yupo upande wa kulia je? Mama anatakiwa alale upande upi. 6
@
@nandychaz14284 years agoNaomba kurinza mi nimjamnzito iranapata kichomi marakwamara. 3
@
@yustakipenyakipenya91175 years agoAyo mazoez unaanza mimba ikiwa na umri gan.
@
@maryseleman80195 years agoUmedanganya kulala chali mwisho miezi sita tofauti na hapo. 4
@
@aloycesteven59983 years agoDada jitahidi kutoa na maandishi kusaidia wasio sikia masomo yako. 2
@
@mamrashid72575 years agoDoctor mbona unahema sana uma pressure. 6
@
@abellangaiza79405 years agoNaweza kufanya mazoezi nikiwa na mimba ya mwezi mmoja. 4
@
@siaharold56855 years agoMm mjamzito anaruhusuwa kunywa grand malta. 1
@
@shinjeclassic30533 years agoMimi ninachoka sana na sipati hamu ya chakula. 2
@
@ifgodsayyes.nobodycansayno17965 years agoMimi sina hamu ya kula kabisa na mimba yangu ya kwanza haikuwa hivyo kuna dawa ya kupata hamu ya kula? 9
@
@jenieljoseph85733 years agoDuuh we nae unazunguka tu mgongo nyoo alafu hujibu hata comments muone kwanza. 3
@
@yaaishbaybe74776 years agoNakataa ati mtu alalehatari kulala chali kuna mishipa yachakula na hewa from mama, to bby anaeza akiulalia mzazi mtoto adhurike. 22
@
@macanilusiji34235 years agoDoctor hivi mjamzito anaruhusiwa kula ukwaju? 5
@
@mauamussa46225 years agoDoctor mama mjamzito haruhusiwi kula kipolo? 7
@
@deborahsembe3035 years agoKuna umuhimu gan wa kufanya tendo la ndoa wakati wa ujauzito. 8
@
@ngupalirashidi41046 years agoDocta mjanzito analuhusiwa kula nanasi. 7
@
@lightnesscharlse22815 years agoMhh sina hata hisia sasa hivi ya kufanya tendo natamani nijizalie tu. 2
Related videos for EXCLUSIVE: Mambo muhimu yakufahamu MAMA MJAMZITO ili kuwa salama na kiumbe chako tumboni: