Duration 2:32

LSK kupeleka notisi bungeni ya kuvunjwa kwa bunge kwa kutozingatia sheria ya jinsia

2 236 watched
0
13
Published 7 Oct 2020

Chama cha Mawakili nchini LSK, kimesema kitaelekea bunge mnamo tarehe 12 mwezi huu, kupeleka notisi ya kuondoka kwa bunge la Taifa na Seneti, kwa kukosa kutimiza sheria ya thuluthi mbili ya uakilishi. Chama hicho kinasema baada ya zoezi hilo la jumatatu ijayo, bunge litakoma kuwa halali. Haya yanajiri baada ya jaji mkuu david maraga kutoa pendekezo la Bunge kuvunjwa kwa kutotekeleza sheria hiyo. #Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

Category

Show more

Comments - 6