Duration 3:46

UBADHILIFU WA FEDHA NA MADARAKA UDOM,TAKUKURU YAAGIZWA KUCHUNGUZA

6 914 watched
0
50
Published 20 Nov 2021

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi na Utawala bora Mohammed Mchengerwa amemuagiza mkurugenzi wa uchunguzi wa taasisi ya kuzuiana kupambana na Rushwa TAKUKURU kufanya uchunguzi wa ubadhirifu wa matumizi ya madaraka na fedha katika chuo Kikuu cha Dodoma UDOM.

Category

Show more

Comments - 22