Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ni miongoni mwa Wabunge ambao leo February 4 2021 wamechangia mjadala kuhusu hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati akizindua Bunge la 12, Askofu Gwajima amesema mgawanyo wa usimamizi wa barabara nchini hauendani na kiwango cha mgao wa asilimia 30 ya fedha za barabara wanazopewa.
Category
Show more
Comments - 323
@
@ericklaura75113 years agoThank hon gwajima for the poweful insight. 13
@
@joycecharles78213 years agoEducation is the key of mind. Bigup gwaji. 8
@
@paschalrutashoborwa79763 years agoAhsante sana mhe_askofu gwajima kwa kutetea barabara ndani ya miji, manispaa kutengewa bajeti nzuri ili ziweze kutengenezwa, na huko ni maeneo ambako watuna shughuli nyingi za. 10
@
@oscarmwakisyala173 years agoMmm, gwajima boy. You have got an international representation from your speech. 1
@
@mpogomialexandermussa2483 years agoHongera mheshimiwa gwajima kwa hotuba yenye kiwango na ubora, 7
@
@mchomvuelias643 years agoThis is lecture, which i think is necessary. 1
@
@fatumahassan82123 years agoHuyo ndiyo mheshimiwa gwajima naimani utatenda haki kwa wananchi wa kawe una uelewa mpana big up mheshimiwa gwajima. 16
@
@peterkatete56453 years agoHon. Dr gwajima nimekwelewa ningekuwa mimi ningekuweka kwenye kamati ya hukohuko talula. Asante mwalimu kwa lecture.
@
@jabalimikechi77503 years agoWow i didn' t know this man of god was thiswana bahati sana na tz piya. 9
@
@angelqwaray91743 years agoHongeraa askofu kweli ndani yako unaroho wa mungu waombee bunge la 12 itakuwa takatifu baba mzuri sana wewe. 12
@
@josephkasika67553 years agoSmart guy, niongezee pia joseph nye alifafanua vizuri zaidi kwenye strong power or hard power, soft power na smart power kuednelea world power from western to eastern asia. 2
@
@furahafrank82673 years agoWewe unaweza hii kazi kila siku unaongea point. 35
@
@gilukwayoegine31453 years agoHow can some one dislike this sense point like this? It means some people they ' re enemies of success! 10
@
@marcondokeji89823 years agoHongera sana mheshimiwa gwajima, you speak point always. 4
@
@haysanhassan26853 years agoGwaji confidence ya kutosha kama yupo bungeni miaka 30 iliyopita. 7
@
@aishaasumany5613 years agoMashaallah wwe uko sawa umemshinda mpaka mama samia mashaallah mungu akueke nahasidi.
@
@zariadunia63283 years agoMbunge sahihi kea wakati sahihi sikutegemea kama askofu gwajima atakuwa kifaa kama hivi gwajima asante sana mh you are a smart mp. 5
@
@miriammollel17553 years agoGod bless you servant of living god. Gwajima boy.
@
@francisrobert96523 years agoAskofu gwajima unatisha ulikuwa wapi siku zote upo strong kawe wamepata mbunge big up unapoongea unaeleweka. 1
@
@gracekagoma32313 years agoNdiyo faida ya kuwa na wabunge wasomi. Gwajima ahsante sana.
@
@ezrashemayo90923 years agoGwaji boyy ana vitu vyake personal yani huwez vipata bila kufukunyua. 23
@
@doreenfrancis69773 years agoHongera sana mweshimiwa kwa hoja nzur naimani maendeleo ya jimbo la kawe yapo karibu asante yesu.
@gibishinchambi19713 years agoKwanini tulichelewa kukukpata gwajima? 16
@
@wilonjahatua20673 years agoHuyu jamaa kama wangemyima ubunge ningesikitika sana kifuupi namkubali sana huyu mwamba namengi yakujifunza kwake. 23
@
@villagelife_00343 years agoSafi sana jamaa la kula kondoo wake. Una points kuntu sana. 1
@
@colinmhema5303 years agoNanyinyi manashukuru kwa sababu mmekokotwa mkabebwa na tume mkafikishwa bungeni na sasa mnamshukuru. 2
@
@shabaniguma86963 years agoYani kuna point gwaji boy alitaka kasema ila ndugai kamzuia kuhusu corona mficha maradhi. 4
@
@mosesevarsta25783 years agoMungu mtee. Mtumishiwako. Amalize. Vizuri. Gwajima.
@
@rehemandam23663 years agoYaani gwajima ni mtu mnafiki sana hapa tz.
@
@christopherhadson77433 years agoHahahahaa ikumbukwe kuwa mbunge ni cheo kidogo sana leo je nibora ukasema mungu yupo ukafika hayupo klko kusma mung haypo ukafka anakusbr hatr sana mtumish.
@
@rehemacharles61593 years agoBunge linanoga sana tukiwa na viongozi kama hawa. 6
@
@peterphillipo64773 years agoVery nice smart hon. Josephat gwajima, mapepo na wachawi tu ndio hawakupendi. 5