Duration 7:17

Komando avuta gari kwa kutumia meno kwenye Sherehe za Miaka 54 ya Muungano

785 864 watched
0
1.9 K
Published 26 Apr 2018

Tazama onesho zima la Makomando wakinogesha Sherehe za Muungano. Ni katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, sherehe zikifanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

Category

Show more

Comments - 172