Duration 1:18:6

LIVE​: ZITTO Aichambua RIPOTI ya C.A.G KICHERE, AMUOMBA RADHI - ILIKUWA ni HASIRA

25 461 watched
0
102
Published 11 Apr 2021

🔴#LIVE​: ZITTO Aichambua RIPOTI ya C.A.G KICHERE, AMUOMBA RADHI - "ILIKUWA ni HASIRA"... KiONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe leo Aprili 11, amemuomba radhi mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa shutuma alizomrushia siku za nyuma, akibainisha kuwa kipindi hicho Kichere alimtuma mmoja wa wabunge amueleze Zitto kuwa anafanya kazi kwa mujibu wa taratibu na si vinginevyo. Kipindi kile nilitoa maneno makali kidogo kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali huyu wa sasa Bw. Charles Kichere na kusema kwamba ni mtu ambaye ameteuliwa ili kwenda kulinda maslahi ya serikali na watu wake” Zitto Kabwe. “Alimtuma mmoja wa waliokuwa wabunge wenzangu wakati ule kutoka mkoa wa Kigoma aje kuniambia kwamba nimwamini yeye ni Proffesional, atafanya kazi yake kwa weledi asubiri nione nisimuhukumu, hakika ameni-Prove Wrong kwa ripoti yake ya mwaka huu” Zitto Kabwe. “Ameonyesha kwamba hasira zangu za wakati ule dhidi yake zilikuwa “misplaced” na ninamuomba radhi ilikuwa ni hasira za kutaka katiba ilindwe na ameonyesha kwa vitendo anafanya kazi yake kwa weledi” Zitto Kabwe. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 74