Duration 5600

Mshindi wa saba wa bajaji kutoka promosheni ya Twende Mjini, Tanga

194 watched
0
0
Published 22 Jul 2021

Kutana na mshindi wa saba wa bajaji mpya kabisa kutoka kwenye promosheni ya #twendemjininampesa Bwana Sufiani Saidi Hamza kutokea Muheza, Tanga aliyejishindia chombo chake baada ya kuwa mtumiaji mzuri wa M-Pesa. Endelea kutumia M-Pesa yako kukamilisha miamala mbalimbali kujiongezea nafasi ya kushinda chombo kipyaaa. #pesanimpesa

Category

Show more

Comments - 0