Duration 8:27

Jinsi ya Kutengeneza Vitumbua

4 837 watched
0
61
Published 31 Dec 2018

Vitumbua– A healthy coconut and rice vegan donut or pancake. This sneaks are very common in East Africa Region. You can have it with a good spicy cup of tea (chai) Kama unapenda vitumbua, kwa Video hii utajifunza kwa urahisi jinsi ya kutengeneza vitumbua na kila siku utapata vitumbua vitamu, lakini na rahisi kutengeneza. MAHITAJI: Mchele vikombe 4 (loweka usiku kucha) 1 1/2 vikombe -tui la nazi Kijiko cha chai 3 -Hamira 3/4 ya kikombe cha chai -sukari Kijiko cha chai 1 1/2 - Iliki

Category

Show more

Comments - 25