Duration 12:44

TAZAMA MAPOKEZI YA TUNDU LISSU MOROGORO KUANZIA MSAMVU MPAKA MASHUJAA

54 776 watched
0
351
Published 11 Sep 2020

Category

Show more

Comments - 268
  • @
    @adielymwarabu54744 years ago Sio bure mungu anampango mzuri na lisu. 1
  • @
    @derickthobias63934 years ago Mungu akupe maisha malefu mweshimiwa lissu. 2
  • @
    @piasonedom12154 years ago Lissu ni nomaa sanaaa ana faa kuwa rais. 4
  • @
    @frankmlowe48194 years ago Tunakusubiri njombe kwa hamu mzee baba. 20
  • @
    @edwinkimambo94734 years ago Kama umemuona wabasikeli anambio kuliko wa bodaboda nipe like. 7
  • @
    @dasilvajunior30164 years ago Pamoja xana rais, umetisha bila wasanii. 12
  • @
    @iliasaliogopen65054 years ago Dua naiyomba amina kuitikia, hasbunallahu waniimal wakiil. 6
  • @
    @ukweliunauma45704 years ago Mwenye macho hambiwi tizama ccm imekwisha kazi kupeleka waanafunzi tu mikutanoni. 1
  • @
    @sigifridahendry44834 years ago Tatizo ni wajumbe utajaza kweny mikutano kwenye kupiga kura unabaki mwenyewe. 3
  • @
    @margarethorgenes48744 years ago Mashabikikeshokutwa watasema wameibiwa kura kwa kuwa barabarani walikuwa wengi. Yangu macho. 2
  • @
    @admaumsengi42304 years ago Kwenye msafara ayo mnatuonyesha lakini akianza kunadi sera mnaanza kukatakata mwogopeni mungu. 2
  • @
    @neemamasimba29814 years ago Kawaida sana hao no wnajumbe jamani, wajumbe ninyi wajumbe.
  • @
    @shedracksimon18684 years ago Kuna sababu ya wewe kua hai mh tundulisu. 1
  • @
    @issayasosolo54634 years ago Watamwelewa tu chura kapigwa teke na polepole anazidi kwenda mbele tund hatari sana! 4
  • @
    @masabamarkosamweli49374 years ago Kama umemuona askari akipiga makofi nipe like. 46
  • @
    @aggreyenock12214 years ago Miradi uwe unaweka ndefu sana watu tunaweka bundle zetu kumuangalia lissu. 3
  • @
    @atiliomitao71064 years ago Kaka millard ayo naombeni mnisaidie namba ya mheshimiwa tundu lissu asante.
  • @
    @ghadnehamed91384 years ago Ni wewe tu lissu. Mungu akuweke
    uwatoe taka za maskio wasojijua.
    4
  • @
    @neemamwakatika124 years ago Watz mkilogwa tu mkachagua ndudu hii hapo mnapigwa lockdown hata kabla ya kuapishwa. 1
  • @
    @khamissnassor14624 years ago Mwendo ni ule hapa tunaskiliza madongo makali af tukitoka hapo tunaenda upande wa kijani kucheki show ya mondi.
  • @
    @kalufunyangenyakinyungu50874 years ago Kwa jpm bado saana, akasome, hamfikii hata nusu yupo robo bado. 1
  • @
    @emmanuelmosha22784 years ago Utaskia wanasema maanamano, je yule anaefanyia mikutano katikati ya barabara hawamuoni. 4
  • @
    @edwardlutema60064 years ago Ukweli ni kwamb hamna wapiga kula uchaguzi huu myspiwa vibaya sana.
  • @
    @julianamasunga7004 years ago Ngoja mwenye nchi aende morogoro. Ndiyo utaelewa maharange siyo mbonga.
  • @
    @chajanevatv45464 years ago Wanapeleka maiti au mbona hawaana hata shangwe kwa watu? Chadema mnapoteza mda.
  • @
    @aronassom51344 years ago Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapo hakuna msanii hata mmoja lkn raia wanamfata
    ni yeye 2020.
    29
  • @
    @fintaniferx95354 years ago Da iv apo ni mjini au? Nuyumba zote ni vibanda kweli africa bado sana. 1
  • @
    @mashajafari97654 years ago Tokalini ukavakanzu at uvae majoho apati kitu.
  • @
    @aggreyenock12214 years ago Jamani mh lissu anatumia mda mwingi kuzunguka tatizo vyombo vya habari havina mchango. 20
  • @
    @josephatraymond49024 years ago Amna kitu hapo. Boda namilio ya onih ndo et nyomi.
  • @
    @eischerschwederm78764 years ago Maskini hata mhemko hakuna. Kweli magu kiboko ya uchafu. 1
  • @
    @mussamchena95954 years ago Too bad bodaboda mnatumika kizenbe sana. 3
  • @
    @theophilbuay40054 years ago Millard ayo huwa hawafiki kwenye mkutano nn? 1
  • @
    @pascalmstaarabu43724 years ago Hahahaa walinipa hela ya mafuta niunge msafara nikaweka wese na nikaacha kwendaa hahaa hahaaa. 1
  • @
    @jamalahmed70574 years ago Kwa kweli lissu nilifikiraia anajielewa kumbe kaingia choo cha kike, hawezi kushinda uchaguzi huu wenziwe wamejipanga hata akiingia mtaani hawatoweza kushinda watakufa tu.
  • @
    @aichaabdul58444 years ago Bado hamjafikia pale kwa lowassa wakati akigombea uraisi kupitia chadema, alikwa na ushawishi mkubwa sana.
  • @
    @sponsor78824 years ago Rais ndiye huyu ndugu zangu. Hatumii nguvu za wasanii.
  • @
    @pancrasshirima4 years ago Na hapo hajatumia wasanii ni upendo tu wa wananchi. 1
  • @
    @presseg.63624 years ago Kumbe ndio mnawaita watu! Kwa jembe letu magu huwa watu wameshakaa tayari, wanamsubiri! Siyo nyie na masifa yenu! Alafu na maneno yenu ya faraja kwamba . ...Expand 1
  • @
    @officialstoner7714 years ago Yaan hao wote wanamsindikiza tu hajui mchezo wao. 1
  • @
    @davidndaha96074 years ago Mbona ccm wanaogopa upinzani? Wakati wanasema wanajiamini wamefanya mengi! 1
  • @
    @gracemima52344 years ago Kataa kudanganywa. Tundu lissu ni kibaraka.
  • @
    @NoorAhmed-lg8xr4 years ago Hizo ni mbio za sakafuni subiri oct 28 ndipo utakapofunga domo lako tushakwambi hatudanganyiki.
  • @
    @gracemima52344 years ago Angalia barabara za magufuli raha tupu. Hakuna vumbi. Kisha anasema atamuondowa ikulu. Ataweza. Kweli? Hawezi.
  • @
    @shukurumwalukopetro67574 years ago Je hao boda wamejaziwa mafuta! Wamekusanya vikiweni au wamejitoa kwa upendo kwa hadema?
  • @
    @thatlustyidiot94184 years ago Hatutaki kungwa macho na lisu chagua magufuli = maendeleo ya tanzania. 5
  • @
    @ibrahimimu59784 years ago Nyie nyote mngelikua mpo kwenye nchi inayotambua na kuheshimu uhuru wa habari, basi mngefungiwa nyote. Sasa hii ndio nini? Kwahivyo ulikusudia uwaonyeshe watu msafara tu. Shame on you. 1
  • @
    @yassiniferuzi28674 years ago Mgombea urais wa acaccia kupitia kivuli cha chadema hatuchagui rais wa kwenye gunia huyo atakuwa rais wa kafara kuwadi wa acaccia atauza nchi tayari tuna . ...Expand
  • @
    @charlesmaghuha58534 years ago David silinde wa tunduma kamfunika vibaya lisu, naskia kelele tu, sioni watu mimi. 8
  • @
    @titosanga54474 years ago Mwaka huu uhakika ikulu ni ya chadema. 7
  • @
    @naimumwahu77234 years ago Huyo mwenye baiskel alitendewa nn na ccm hadi kakanyaga baik ivo. 3
  • @
    @abdallahmuttaq73064 years ago Mbna mnalazimisha watu wenyewe wala hawana story. 3
  • @
    @eliamwasomola50744 years ago Ninavyo mfaham mkuu wa chama dola anae miliki mapolisi tume ya uchaguzi atakapo tangazwa ameshinda angali hajashinda wengi tutajuta kuzaliwa maana no mzee . ...Expand 7
  • @
    @maspro62944 years ago Wewe kibaraka wa mabeberu hakuna wa kuwapa inchi nyinyi mtabaki kubwaka kama mbwa koko wewe labda uwe rais wa kuzibua vyoo na mashoga sio kuongoza inchi wewe uraisi kwako sawa na katia maji kwenye pakacha. 2
  • @
    @allycube79034 years ago Hoo hatutaki maendeleo ya vitu tunataka maendeleo ya watu barabara sie za nin acha barabara na madaraja yampigie kura saiz anatambaa kwenye barabara anazo tengeneza maguful na ccm kwel jamaa anaitaj mirembe. 10