Duration 1:1

ROBERT TRUMP AAGWA IKULU

86 watched
0
1
Published 26 Aug 2020

Rais wa Marekani Donald Trump na Familia yake wamefanya Ibada ya kuuga mwili wa Mdogo wake Trump, Robert Trump aliyefariki Dunia hivi karibuni akiwa na umri wa miaka 71, Ibada hiyo imefanyika Ikulu na kuhudhuriwa na Watu wachache wa Familia. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Trump ameandika “Nakupenda Robert, Pumzika kwa Amani” #RIPRobertTrump🙏🏼

Category

Show more

Comments - 0