Duration 23:20

Diamond Platnumz akubali yaishe, akiri mtoto wa Hamisa ni wake

513 084 watched
0
2.5 K
Published 19 Sep 2017

Category

Show more

Comments - 330
  • @
    @josephochieng25227 years ago And his mother, i believe is behind everything, his sister is also a cheer leader, the disrespect he shows his women, calling them bitches, his mother needs to sit down with him and teach him some good manance! 15
  • @
    @dornajohnson84335 years ago Its so sad how these celebs fall from grace. 2
  • @
    @kibibimwanamvuamohammadmoh98237 years ago Pole sana d muhimu zari asishike maneno ya watu akusamehe na muendelee kulea watto wenu kwa hakuna penzi likosalo mitihani na nyinyi wapo waonao waangalia . ...Expand
  • @
    @charleskadoke18887 years ago We just misread the actual incidence is that if you are de superstar as diamond platnumz these faults are inevitable and are common to happen big up simba.
  • @
    @mzurimuck24187 years ago Kawaida sana kwa maisha yetu vzur kukubal damu yako. 3
  • @
    @s2thek3237 years ago Ecclesiastes 7. 26 " i found something more bitter than death - the woman who is like a trap. The love she offers you will catch you like a net; id="hidden5" and her arms round you will hold you like a chain. A man who pleases god can get away, but she will catch the. ...Expand 9
  • @
    @sarahogama95404 years ago Wale wamerudi hapa after kumuona zari back to this dude ebu gongeni likes tukiendaga heehee. 1
  • @
    @linetodundo46267 years ago Good for zari what goes around comes around she also got diamond the same way. So now hamisa is giving her medicine. 8
  • @
    @khadejakhadeja97132 years ago Hongera sana. Diamond kwa maelezo. Mazuri kumbekula na kipofu angekaa. Kinya. Angefaidi.
  • @
    @kahindoazida97437 years ago If am not dreaming then i really hate this dude, zari stood by u eventhough pipo abused ber badly wewe. 10
  • @
    @mako3317 years ago Haya mnasema hawa ndio kioo cha jamii, vijana wanaokuangalia diamond wajifunze nini katika hili! 2
  • @
    @noni09able7 years ago You said god loves you but do you love and obey him!
  • @
    @violetgeorge55212 years ago Diamond vinginevyo ni yache pembeni uki nyowa kwa hiyo style una fulahisha ki ukweli.
  • @
    @mlongojane86717 years ago Watu wakienda kuona mtoto wa mchepuko hulala huko hadinataka rav 4 nanipite!
  • @
    @shakirashakers73797 years ago Hamisa kumbe hana akili. Ashapewa support anayohitaji na mtoto kila kitu. Lakini ywawashwa na zari tu ana wivu umejaa.
  • @
    @lukmaniddi45713 years ago Oya mimi nnakipaji naweza kuimba sasa nataka na naomba niingie wasafi.
  • @
    @margarethsolomon98236 months ago Mahusiano yenu yallijaa lawama toka mwanzo wa mimba ndio maana hadi leo mtoto anaishi kwa upande mmoja wa mama. Diamond kama ulikiri toka mwanzo kuwa huyo ni mtoto wako basi usikengeuke kwa kumtenga na wenzake.
  • @
    @brendaaluoch21647 years ago Diamond groupies will bring you down learn from the best players in the industry the big guns in this world of fame. Keep your zipper locked away the groupies . ...Expand 3
  • @
    @sikoramamuya39773 years ago Pole daimod huyo alitaka kukuhalibia doa yako.
  • @
    @Sanyah-le1od7 years ago Life is interesting - sasa jina limebadilika from luv/babe to " mzazi.
  • @
    @metalcombat44707 years ago D huna adabu mshakaji. Eti " nili mbandua! " 4
  • @
    @junemuchiri6094 years ago Huu uchungu unaonekana kwa domo, ndo kinamfanya bado asimkuli dylan kwa maisha yake.
  • @
    @lucygasper58927 years ago Ili lililotokea kwa diamond itakuwa ni fundisho kwa wanaume wote wanaopenda kuchepuka na yote hi kaongea ni baada ya picha kuvuja means kwamba bila picha . ...Expand
  • @
    @rehemajuma22022 years ago Diamondkama ni studio yako ukiwa unahojiwa kwa tulia heshimu mara simu mara nini haipendezi iga mfano wa marehemu mengi.
  • @
    @annamwansasu4887 years ago Daimondi ulicho kifanya kwauyo mtoto kutowa ela ya matumizi laki mbili halali kubuka yule mtoto atakuwa unayo yafanya ayakuja kuyapata unamsamini zari kuliko damu yako malipo yako hapahapa duniani.
  • @
    @sakinaabdallah77133 years ago Wacha kumtaja. Mungu kwani humjui wala humuamini. Mungu wako ni kufuru, n' a pesa tuu, ingekua unajua, mungu ungetangulia umjue baba yako mzee. Abdul kwanza. 1
  • @
    @fatmaahmed81417 years ago Kwa nini unasema sana mistake. Mistake ku have an affair with another woman. Sio mistake mtoto. Stop calling him mistake wee mjinga. imehusu nini. Ulipenda kupewa papa sasa ina ku cost. Utazinya hela. Ulitaka papa bure. ...Expand 4
  • @
    @maggymm73027 years ago Haha he is such a lier yaani, for those who understands the signs and gestures za mtu mwongo, kijikuna, kuvuta pua, no straight eye contact, anadanganya sana. Ila vyema kakubali mimba. 1
  • @
    @adamcode44367 years ago Jamaa sifa san, dollar account dah yote yanin haya bro.
  • @
    @pamelamoraa61667 years ago Haha kumbe kipindi ommy alikutusi ilikua ukweli. 7
  • @
    @jaizahamin48827 years ago Yani huyu ni mshamba eti anafamilia wakati hajaoa wenye ndoa wasema nini dunia itamshinda kudhalilisha wanawake zari atakukija kukutupa tu.
  • @
    @seifmohamedseif93847 years ago Umeumbuka hahaha sasa mbona ulikua unazunguka mbuyu hahahaha ungenyosha maelezo mapema ingependeza mwenzio aliona dili na ni sifa. 4
  • @
    @Benedictpouan7 years ago Diamond kumbe unajuwa kutafuta pesa tu lkn hata sheria za kujilinda huzijui? Hata mwanasheria hauna? 2
  • @
    @jakilenekokusima28127 years ago Fanya hivo simba wakomeshe si walikuita hanisi zalisha baba we kidume.
  • @
    @ricksamthecrow7 years ago We zari asingekupa watoto harakasomething smell fishy. Ukuwaza sana pnd unaanzanae mahusiano sasa huridhiki nae.
    real fan tells truth, tho hammisa nae alitega mimba na anavisa ili uenae mazima.
  • @
    @cestlaviecestlavie46065 years ago Mondi aca uongo mwanangu, mbona ivi umeacana na zari, hamisa ndie amesababisha?
  • @
    @sheryphamwenevalley61246 months ago Nimerudi leo 23 kuja kusiliza uongo wa sadala familia my foot, tunza mwanao wacha blabla.
  • @
    @Tv-qs8iz7 years ago Kwani huyo shetwani alikushikia bundukii. 29
  • @
    @didikiki52257 years ago Mbona raia siwaelewi si mlitaka amkibali mtoto haya keshafanya hivyo mbona bado mwalalama? 14
  • @
    @glorymrosso52627 years ago Haahaha mi ndomaana nampenda zar anaakili za kiutuuzima na kingine mwanamke mjinga huaribu ndoa yake mwenyewee wapambe mtabak na upambe tu ximba tukio limetokea baat mbaya ila usirudie tena kaka. 1
  • @
    @bitresimusa45377 years ago Duh daimond siku moja tu ata aukukumbuka kondom. 1
  • @
    @mohammedrashid77357 years ago Hah ha huwezi kumwmbia nlibandua mtu fulani. Really unaongea haya kwenye interview. 1
  • @
    @bjzee19817 years ago 700 ya tanzania per day and he calls himself billionaire.
  • @
    @mercyabuogi9967 years ago Their is always two side of the story let wait for hamisa side.
  • @
    @habibashomari65437 years ago Ongera ndugu yangu kwa uamuzi wakukata mzizi wa fitna wanao kuponda wote wanfki. 1
  • @
    @beatricemapembe89417 years ago Zari awasamehe bure mondi na familia yake, hawa in washahili pure, pia hawajaelimika ni neema ya mungu imewashukia pesa insignia kwa ndiyo imewapa jina. wewe uliona wapi mtoto wa kiumekuishi na mama yake tena mama mwenyezi afya njema tena bado kijana! Na mama naye anaona sawa tu! Hii no dalili tosha kuwa wana matatizo.
    sisemi asimpende mama yake bali hizo pesa anazonunulia magari mademumama yake makazi yake wakawa wanatembeleana tu. Alafu watu wanataka zari aje akae madale na mama mkwe wa kiswahili, loh! Ni ngumu kwa kweli
    .
    ...Expand
    2
  • @
    @asmahabiyambere25187 years ago You lie zari did not anything about it. Just marry both of them you are muslim. Mwambie zari apunguze kujiamini sana sasa hao yote mbone hamissa ametukamwa . ...Expand 4
  • @
    @josephochieng25227 years ago He is full of himself, i don' t know what they see in him. 16
  • @
    @ismayilhaawailikeit60727 years ago Zali syo mujinga your so stupid u know this year zali she get to much pain way u do that on the seem year hehehe your plying with the bee' s zali wama be strong dear sister i love.
  • @
    @suleymansaid22987 years ago Mond zaa mwana kwani hapa dunian tumeagizwa hivyo ilia usimuache lady zari. 1
  • @
    @daudi1bashite487 years ago The guy is stupid, why expose all these! If he is to confess about cheating was enough. 3
  • @
    @asmahabiyambere25187 years ago Always anakata kilakitu alakini nahawuwezi kumulamu hamissa kwajili na zari amemuzalawu hamissa nakujiamini sana natena zari is not your wife so marry both of them because you are muslim. 4
  • @
    @josephochieng25227 years ago This guy with lies! The insincerity in his words, many pple respected him but the lies he is telling to make himself look better, he now knows he is not . ...Expand 55
  • @
    @josephochieng25227 years ago All the things he was doing for hamisa, is not usual, buying a car, giving her money to give birth, sending his family for hospital visit, insurance, allowance, . ...Expand 31
  • @
    @bartaalhy20037 years ago Watu mtokwa na mapovu huhu yanawahusu? Mond kidume na ni kama binadamu wengine hakuna mkamilifu wala yeye sio wakwanza. 1
  • @
    @marywamaitha43136 years ago For sure i don' t like hamisa at all. 1
  • @
    @magreiramadhan99607 years ago Mnafiki wewe nakipindi unamwiita maraya. 11
  • @
    @cassianludovic30167 years ago The guy screwed up big time in his family and for his career!
    no disrespect but u is a mitch man.
  • @
    @mckdival65087 years ago What is he wearing? This guy feels himself and he aint all thatwho else is glad the dreads are gone.
  • @
    @chandelierlumona48377 years ago Lea mtoto mpe malezi kama watoto wengine ulio nayo diamond platnumz.
    kuza heshima usifanye sisi mashabiki tubweteke ndugu.
    5
  • @
    @rahmabaigana7 years ago Ww ni shuja diamond nimeipenda hii bora apumue masikin mama t. 4
  • @
    @maryamuhamisimohammed20387 years ago Chibu acha ujinga mcheza kwao utunzwa chukua mobeto.
  • @
    @lawrencemagessa15357 years ago Yaan huna akil kabisa, unaongea usenge tuu maumivu yamapenz huyajui ww zar umemkosea sana usitafute kujisafisha hapo ndo utaona utofauti wako na king kiba. 1
  • @
    @abdullay31667 years ago Diamond anadanganya watu na kujisifu sana mpaka anajichanganya. 6
  • @
    @fatmaalrashdi15777 years ago Ulipenda sio kwabahat mbaya hivi agekua zar kakufanyia hivo wewe ugekua aje hakuna uaminifu. 1
  • @
    @chandelierlumona48377 years ago Usichote maneno bwana mwanaume huongea kwa vitendo nakufanya kuwa kweli, usibune misemo bwana hamnaga mtoto wa mistake bwana.
  • @
    @hefe587 years ago Society mmependa kutetea mama sana kiasi kwamba mnasahau pia mtoto wa kiume ana haki. Zari alijua haya yote kabla aolewe labda alitaraji diamond atasahau . ...Expand
  • @
    @eddieross25817 years ago Diamond utakuja kjizonga ushindwe kujikwamua, 2
  • @
    @sophieaden53675 years ago Alitaka hamisa amuogope zari na zari sio mke wa ndoa? 1
  • @
    @lovemyself8767 years ago Kukaa na mwanamke mmoja niila hujafanya haki kwa zar. Ww ni muislam acha kujigamba na mtt wa zinaa.
  • @
    @annastaziakibole56037 years ago Napenda mwanaume mkweli na pia nakupongeza sana nasibu ila nampa pole sana zari kwan yup kwenye wakati mgumu na pia avumilie kwan wanaume ndivyo walivyo. 23
  • @
    @hefe587 years ago Society mmependa kutetea mama sana kiasi kwamba mnasahau pia mtoto wa kiume ana haki. Zari alijua haya yote kabla aolewe labda alitaraji diamond atasahau . ...Expand
  • @
    @hefe587 years ago Society mmependa kutetea mama sana kiasi kwamba mnasahau pia mtoto wa kiume ana haki. Zari alijua haya yote kabla aolewe labda alitaraji diamond atasahau . ...Expand