Duration 22:33

SOKA KIJIWENI: Hapa Mapinduzi Balama, pale Juma Nyangi akifunguka ishu yake na Gadiel Michael

81 223 watched
0
374
Published 27 Aug 2019

Kwenye Soka Kijiweni hii ya tarehe 26/8/2019, tupo na nyota wawili waliokuwa pamoja Alliance FC. Juma Nyangi ambaye bado yupo Alliance na Mapinduzi Balama ambaye kwa sasa amehamia Yanga SC. Full story kuhusu safari ya soka ya Mapinduzi iko hapa huku Juma akiweka wazi kile kilichowahi kutokea kati yake na beki wa Yanga Gadiel Michael kwenye mchezo kati ya Alliance na Yanga uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Story kibao kuhusu soka na maisha yao ya kitaa, ziko hapa chini ya Jamal Abbas ‘Dodi’

Category

Show more

Comments - 12