Mkali wa rhumba kutoka DRC Kongo, Ferre Gola amewasili leo nchini Tanzania jijini Dar es Salaam kuja kutumbuiza kwenye mashindano ya kumtafuta mlimbwende bora wa Afrika Mashariki, Miss East Africa 2021 ambayo yanatarajiwa kufanyika siku ya desemba 24, 2021.