Duration 3600

HUDUMA ZA AFYA NA MATIBABU VIMEIMARISHWA

64 watched
0
3
Published 16 Jun 2020

Huduma za Afya na Matibabu vimeimarishwa. Umefanyika ujenzi ufuatao; zahanati- 1,198 ,vituo vya Afya 487, Hospitali za Wilaya 71 na Hospitali za kanda 03 kwa kanda ya kusini-Mtwara ,kanda ya magharibi- Tabora na kanda ya ziwa-Burigi

Category

Show more

Comments - 0