Duration 8:53

MAJALIWA ATOA HALI YA WAGONJWA WA CORONA HOSPITALINI | ASILIMIA KUBWA YA WAGONJWA WAMEPONA

6 046 watched
0
32
Published 24 May 2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameeleza kupunguwa kwa wagonjwa walioambukizwa virusi vya corona waliokuwa wamelazwa katika hospitali maalum kadhaa nchini. Majaliwa ameyasema hayo leo aliposhiriki swala ya Eid el Fitr katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma.

Category

Show more

Comments - 25