Duration 1:17

National Anthem of Tanzania Mungu ibariki Afrika (Nationalhymne Tansania)

3 204 watched
0
10
Published 27 Sep 2012

Mungu ibariki Afrika Wabariki Viongozi wake Hekima Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake. CHORUS: Ibariki Afrika Ibariki Afrika Tubariki watoto wa Afrika. Mungu ibariki Tanzania Dumisha uhuru na Umoja Wake kwa Waume na Watoto Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. CHORUS: Ibariki Tanzania Ibariki Tanzania Tubariki watoto wa Tanzania.

Category

Show more

Comments - 1