Duration 8:32

BABA LEVO AANIKA SIRI ZA VUNJA BEI NA ARISTOTE/AMEOMBA MSAMAHA/MWANAMKE KAPOKEA SIMU/MIMI CHAWA

6 949 watched
0
55
Published 12 Mar 2021

Category

Show more

Comments - 39
  • @
    @saxysarry2653 years ago Dah! Baba levo hapana jmn atengwehawawez kuzaa konde. 5
  • @
    @isabellamethod18423 years ago Baba revo mimi nakupenda hvyo wew sio mnafiki unanyosha maelezo. 2
  • @
    @fatmaabdallah77093 years ago Jamani baba levo unaongea kama musiba nakupenda sana.
  • @
    @hassanhamudy66393 years ago Serekali ya ubongo wake anaiweza mwenyewe huyu. 1
  • @
    @jacquelinerayamu31873 years ago Huyu hana adabu wala heshima hata hao wanaompa dili watajuta cku zijazo. 1
  • @
    @khasimgange42133 years ago Mtu anakohoa hata hamfungi midomo. Na corona ipo. 1
  • @
    @leNeza3 years ago Vunja na misa hawawezi kuza konde | kumaanisha umbwa kamwe hawawezi kuzaa tembo.
  • @
    @misrahmisrah87613 years ago Ushtakiwe baba levo ulimtusi hamisa atazaa mbwa hukujuwa na wewe unezaliwa na mama yako shenzi taipu hamisa. Mpeleke mahakamani usiogope mnyooshe huyo baba levo usimuogope sababu diamond.
  • @
    @fatmaabdallah77093 years ago Baba levo una corona bwana unakohowa ovyo huzuwii kwa mkono.
  • @
    @adijaniyonkuru97313 years ago Sio tu sukari ata nyimbo zingine bado sana. Wampe mazoezi ajakamilika kusainiwa kwenye lebo. 4
  • @
    @tedymwandara54803 years ago Da! Kweli kuna watu wanakula kwa nguvu ya mdomo. Yani huyu jamaa chochote atakachotumwa ataropoka. Sasa kuna haja gani kumkashifu eti alikupa dola mia.
  • @
    @wivinemwamini91103 years ago Sikudiamondweye babarevo acha chafuwa watu.
  • @
    @annajohn24883 years ago Hili jamaa jinga kweli ovyoo linajikuta nani hili mbwa. 1
  • @
    @sarahmichael75383 years ago Acha ujinga pumbavu mkubwa wewe. Unatumiwa na mond kumshambulia kila mtu ila kumshushia mtu thamani yake aonekane mdogo. Vunja ni mtu mstaarabu, acha uchoko ww mwanaume, unahaha na maisha! 1