Duration 4:00

BIKIRA MARIA alipomtokea Mtakatifu John Diego

5 437 watched
0
34
Published 11 Dec 2017

Kwa ufupi..... Mtakatifu Juan Diego alitokewa na Bikira Maria wa Guadalupe yapata mara nne, akimwomba kuwa mjumbe wake kwa Askofu huko Mexico! Bikira Maria wa Guadalupe alitaka kujengewa hekalu ambalo ataheshimiwa mahali hapo, hata hivyo Mtakatifu Juan Diego anakoswa kuaminiwa na Askofu mpaka pale alipopewa alama ya uthibitisho. Subscribe katika channel yetu

Category

Show more

Comments - 7