Duration 11:43

Swahili Donuts (donuts za Kiswahili)

6 636 watched
0
122
Published 19 Jun 2020

Unga wa ngano vikombe vitatu Siagi kikombe kimoja Sukari kikombe kimoja na nusu Mafuta lita moja Maziwa kijiko kimoja cha chakula Hiliki ya unga kijiko kimoja cha chai Yai 1 Baking powder kijiko kimoja cha chai Chumvi ya kunyunyiza (pinch) Mdalasini wa unga nusu kijiko cha chai Kungu manga ya unga nusu kijiko cha chai Arki ya banana na icecream (drops) unaweza kuweka arki yoyote unopenda

Category

Show more

Comments - 17