Mauaji ya jamaa wa familia moja katika eneo la Karura kaunti ya Kiambu bado ni kitendawili huku maswali mengi yakisalia kuhusiana na taarifa ya mshukiwa mkuu Lawrence Warunge. Majirani na hata waliofahamu familia hii wakizungumzia walivyomfahamu Lawrence, kijana wa miaka 22 aliyekiri kuwaua wazazi wake na nduguze wawili.
Category
Show more
Comments - 278
Related videos for Majirani wasema Lawrence Warunge alikuwa kijana mpweke: