Duration 4:23

HERI HALISI YESU NI WANGU: Nyimbo za wokovu 143.L Ev. MITAMBA M. Nyam/2015

3 518 watched
0
40
Published 21 May 2015

Hakuna chakunitenga na upendo wa Bwana, yesu ni wangu nami ni wake milele na milele. MTUNGAJI: Fanny J. Crosby-Van Alstyne. 1873. Tunashukuru kwa watungaji wote wa kitabu cha Nyimbo za wokovu.Mungu awabariki kwa nyimbo hizi ambazo zimejaa upako wa Roho Mtakatifu. Nyimbo hizi za wokovu naziimba bila chombo yoyote ya musique, najisikia nimtukuze Mungu, bila kuongeza kitu.(Naturellement). Asante kwenu. Contact: EV. Mitamba Mireille A. Nyamangyoku Rue Pierre Bauwens 44, 6030 MARCHIENNE-AU-PONT. BELGIQUE. Gsm: +32 489 702 018 Fixe: + 32 71 95 79 89 E-mail: mireillemitamba@yahoo.fr

Category

Show more

Comments - 6