Duration 33:56

SIMBA SC 4 -1 MBABANE SWALLOWS; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (CAF CL - )

1 415 584 watched
0
3.3 K
Published 28 Nov 2018

Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wameianza kwa kicheko Ligi ya Mabingwa barani Afrika Caf Champions League (CafCL) kwa kuipa Mbabane Swallows kichapo cha mabao 4-1 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya awali ya ligi hiyo uliopigwa leo kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Nahodha wa Simba John Bocco amefunga mabao mawili, akianza la kwanza dakika ya 8 ya mchezo, na bao la pili akilifunga kwa mkwaju wa penati baada ya Emmanuel Okwi kuangushwa ndani ya eneo la hatari. Simba ilipata mabao yake mengine kipindi cha pili kupitia kwa Meddie Kagere aliyefunga bao la tatu dakika ya 84 akitumia vyema makosa yaliyofanywa na kipa wa Mbabane Swallows ambaye aliteleza na kushindwa kudhibiti mpira aliorejeshewa na beki wake kabla ya Kagere kuuwahi na kuusukumiza nyavuni. Bao la nne lilifungwa na Clatous Chama dakika za majeruhi akitumia vyema pasi ya Hassan Dilunga aliyeingia dakika ya 86 kuchukua nafasi ya John Bocco. Bao pekee la Mbabane limefungwa na Guevane Nzambe dakika ya 24 kwa shuti kali akitumia makossa ya mabeki wa Simba waliopoteza umakini katika eneo lao kufuatia mpira wa kona wa Mbabane Swallows. Matokeo haya yanaiweka Simba mahali pazuri kufuzu hatua inayofuata, kwani itahitaji sare aina yoyote kufuzu au kipigo cha mabao yasiyozidi 3-0. Mechi ya marudiano ni Desemba 5 nchini eSwatin.

Category

Show more

Comments - 300
  • @
    @khadijahali48374 years ago Km na ww unaangalia hii 2020 tujuane hata kwa like. 8
  • @
    @onlysports68516 years ago Wa kwanza ku comment wana msimbazi woyo weka like hapa. 76
  • @
    @dellymulashani63126 years ago Kama umeelewa shughuli ya triple c like twende sawa. 148
  • @
    @thomasmabilika50693 years ago Asante simba kwa kupata kocha mpya tusubiri kazi yake. 6
  • @
    @witnesskihaga22414 years ago Kama upo unaangalia raha hii 2020 gonga like. 3
  • @
    @nassirissa16546 years ago Wabondeni wamenunalike kama unaipenda simba. 29
  • @
    @pelinakatanga99526 years ago Kama unaikubali simba gonga. Like yako hapa. 146
  • @
    @ombenisamweli24126 years ago Hongera sana simba kwa ushindi hu wa leo hakika chamaaa ni hatari nwamba wa. 28
  • @
    @josephmwibakiswa726 years ago Nan kasikia ule msemo kuna mtu anateseka kama umesikia goga like twende saw. 113
  • @
    @marselinarweyemamu4034last year 2023 tunaorudia kuangalia hii mech gonga like.
  • @
    @abellutonja45894 years ago Kama unaangalia mwaka huu 2020 gonga like.
  • @
    @mussaswalehe80334 years ago Mpenja kuna mtu anateseka gonga like apa tuondoke. 3
  • @
    @barakapeter4046 years ago Namkumbuka patrick mtesa mafisango ndio anayoyafanya chama uko vizur pia chama anaujua. 4
  • @
    @amanivicent76576 years ago Dah simba wako vizuri sana wa kimataifa hao. 1
  • @
    @kassimukipingu53434 years ago Sijaona kosa la kocha kidevu mpaka kutolewa simba. 1
  • @
    @divamrembo87886 years ago Ukitaka kujua chama ni hatari, nenda hadi dakika ya 25 na sekunde ya 25 uone alichofanya boko alafu chama alivyomaindi. 9
  • @
    @maxmaizer46314 years ago Ebu tulejesheen okwi asee maana kumuachia na gyan kotei da sio poa asee huu ulikuwa moto wakuotea mbali sana. 1
  • @
    @jaybchaponda68865 years ago Uyu mtangazaji unajua kabisa nimependa. 1
  • @
    @williamraphael70444 years ago Simba ili tuendelee kupata wachezaji wazuri tusimsahamu kumtumia wakala alie mleta chama simba. 5
  • @
    @kelvinkamala13856 years ago Kwa simba hii hakuna atakae baki salama. 2
  • @
    @kacherosimba57626 years ago Hahahaha shikamoo mpenja nani anateseka vyira mnaulizwa tena nani anateseka kwasimba hiiunakata roho unakufa unazikwa najua mtapaniki simbaaa nguvu moja. 49
  • @
    @hamisirashidi35186 years ago Zamuyetu hatuja bahatisha nmwendo wa4g ngoja nawao wakune nazi nyooo. 16
  • @
    @mwikamwika48515 years ago Mwamba wa lusaka triple c ni habari nyingine aisee. 4
  • @
    @emanuellyamuya66356 years ago Kweli kabisa kuna mtuc amenifanya nimkumbuke mafisango mpya. 20
  • @
    @haridymohamedy2266 years ago Mwamba wa lusaka! Meddiie! Boccoo! Acha wewe lzm wateseke. 2
  • @
    @kazauram2ku2656 years ago Azam camera zenu zinanasa mtu anakua hajui. 36
  • @
    @elizabethjohn45496 years ago Jaman, jamaa anajua chama huyu ni shida. 1
  • @
    @fatumasophu58554 years ago Dilunga chama ni hatari hata mech ya nkana goli la ushindi asist ilitoka kwa dilunga chama akamaliza mweeh mweeeh.
  • @
    @richadbikonya22086 years ago Tumemkosa kapombe jaman ktkt mechi hii wange ogerea magoli. 6
  • @
    @ayubjacob91416 years ago Tukipata wachezaji wawili kama chama bassii. 3