Duration 16:30

Highlights | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC - VPL

223 524 watched
0
655
Published 22 Oct 2020

Mabingwa watetezi Simba SC wamepigwa 1-0 na Tanzania Prisons mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Goli pekee la Wajelajela hao limefungwa na Samson Mbangula dakika ya 49. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 229