Habari njema kwa watanzania!!
Tembelea Airtel Money Branch iliyo karibu yako leo, kwa uhakika wa huduma za Airtel money kikamilifu.
Airtel money branch, wanatoa huduma zote za Airtel money, iwe
- Kuweka au kutoa pesa, kiwango chochote
- Kurudisha PIN (namba ya siri)
Na huduma zingine zote za Airtel money, tembelea Airtel money branch iliyo karibu yako, maana zimeenea kila kona ya nchi.
AIRTEL MONEY BRANCH – TUPO NAWE KILA KONA
#Airtel #AirtelMoney #AirtelMoneyBranch #AirtelMoneyBranches #TukoNaweKilaKona