Duration 11:20

Da-waa ndani ya County ya Nairobi katika mtaa wa isilii

Published 3 Feb 2018

Da-waa na ustadh yusuf wambugu

Category

Show more

Comments - 51
  • @
    @noahwamalwa43854 years ago John 4: 24 " god is spirit, and his worshipers must worship in the spirit and in truth.
  • @
    @maryammagenyo5087last year Mungu akulinde shekh yusuf akurejee afya njema kama ulivio kuwa hapa ameen. 2
  • @
    @ambbabu41222 years ago Mashaa allah. Bado tunakumbuka
    mashaa allah. Allah akujalie afya njema.
    1
  • @
    @Estherm3093 years ago Yesu alijaribiwa sembuse wewe mwanadamu. 1
  • @
    @Estherm3093 years ago Amen mama mungu akujalie neema kubwa kama hiyo. 1
  • @
    @alimaalima60166 years ago Mashallah. Na huyu mama nae nimshindani namuombea mungu amuongoze aijue haki naaweze kuifuata. 5
  • @
    @BURHANDAWAHMAN6 years ago Mama kanini bado haja islimu from 2007 until. 5
  • @
    @hamisikulola84816 years ago Quran 5: 72
    walishakwisha kufuru wale wanaosema allah ni issa bin mariam.
    5
  • @
    @mutomubaya2 years ago Shukrani mwalimu yusuf kwa kumuelimisha dada yetu. Allah amuongoze aelewe kwamba allah ndiye mungu peke yake, na hana mshirika. Asipoelewa wataelewa wengine wengi tu ambao wanasikiza hapa, in sha allah. 1
  • @
    @ramazecha28773 years ago Mashalah mashekh wetu mungu awape nguvu. 1
  • @
    @kibibimwanamvuamohammadmoh98236 years ago Allah amzindue mama hyu na wengine woote ili waiyone haki na kuifuata. Aamiyn
    wachungaji wao ndio wanawowapoteza.
    1
  • @
    @njaginjeru71315 years ago Wambugu explain tawheed in islamic religion. 1
  • @
    @shailglobal22962 years ago Mbona umekonda video zako mpya lakin hii ulikuwa mnene.
  • @
    @magnust.camingsoon96695 years ago Du, ningekuwepo hapo ningewabatiza walimu wote maana mnaingia kwenye mitego bila kujua huyo mama ni christian lakini hayuko na elimu ya hoja lakini bado anawapeleka peleka.