Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) Bw. Ladslaus Matindi akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Leaders leo mara wakati wa zoezi la kuchangia Damu kwa wahitaji mbaimbali ili kuokoa maisha ya watoto wanaohitaji damu.