Duration 5:24

JOKA KUBWA LAZUA BALAA KISAUNI ZANZIBAR

32 320 watched
0
130
Published 3 Feb 2020

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Juma Maulid cc: Masoud Maganga cc: Sauti Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 84
  • @
    @salimharrasy70474 years ago Panahitajika tahadhari sana.
    na ufanywe mfumo wa kuwatafuta kitaalam.
    anajulikana chatu anapenda mizoga. Wategwe kwa kutumia mizoga. id="hidden1"
    chatu anapenda kuzonga wanyama wadogo na watoto wadogo.
    likitokea hilo kama hamna silaha.
    kimbilieni kwenye mdomo wake vuteni chini na juu mlaini sana mara unachanika.
    ingawa si rahisi kumpata sehemu ya kichwa huwa anajizonga
    . ...Expand 5
  • @
    @aishanassor81304 years ago Subhana allah, allah atusalim salama. Jukumu lipo kwa jamii na serikali. Kwanza serekali itoe dawa ya kutoshaa kumwaga ktk msitu huo ya kuuwa wadudu hatar me nasema hvi kwa sbb nipo nje na chuo nnachosoma kiko maeneo ya shamba kbsa ambpo kabla ya kufunguliwa hki chuo ilikua tu ni porii so wadudu wakubwa km hao ilikua ni weng sana sambamba na nyoka lkn kila baada ya muda wanamwaga dawa na alhamdulillah mpk sasa na in sha allah iendelee hvi haijawah kutokea madhara yyte. ...Expand 1
  • @
    @salumjumaruhaga25134 years ago Kitowea safi sana, we ngosha acha ushamba. 1
  • @
    @leylaaliy98524 years ago Mh mtihani kuishi kwa hofu na michatu hio allah awahihifadhi. 11
  • @
    @alihemed77214 years ago Mh mtihani ila kama pana mapango hapo na wanaonekana ni wakumbwa hivo bs hapo wapo tena wengi serekali na wanachi wajitolee ili kuwaondoa wadudu kama hao. 5
  • @
    @masoudyrashidy90414 years ago Poleni sana jamani kwa kweli ni mtihani allah atatusaidia. 1
  • @
    @issaali13214 years ago Ni mtihani mkubwa lkn tujue kuwa hayo. Maeneo chatu wapo assilia. Sasa binaadamu wamevamia lazima tujue kuwa hii dinia sio yetu peke yetu tushe na viumbe wengine. Miaka ya nyuma ndio ilikuwa makaazi yao jamaani. 4
  • @
    @africanchocolate42164 years ago Mnge waita wachina wange mchukue na kwenda kutengeneza kitoweo safi sana! Tena nasikia wana sema ni mtamu sana kwa chai delicious.
  • @
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 years ago Muwe na tahadhari kubwa sana hasa wakt wa uck wasijekuleta madhara na watoto pia musiwaachie kuzurura humo kwenye vichaka mungu atawahifadhi inshallah.
  • @
    @hanifasilima48164 years ago Hhh siyakucheka lln nimecheka uyo nyoka aloingia kwenye choo mt angekqenda jisaidia angetaman aridh icimame ashuke. 3
  • @
    @rasykizanjbari49964 years ago Toba mimi tena hapo ningekaa kwa hofu nahic km atapanda juu ya nyumba yngu au mvunguni maana inatisha hiyo sehemu. 2
  • @
    @stonetown5784 years ago Mwitu mkubwa sana fyekeni kabla athari haikuzidi. 1
  • @
    @mussakiziyzi4084 years ago Mmmh
    hio ni neema kubwa ya kitoweo ktk maeneo yenu
    nasema mumebarikiwa.
  • @
    @husnatgamaah13354 years ago Aise nilivyo muoga ningehama huko siku hiyo uwih.
  • @
    @harounali4854 years ago Ushauri wangu ni tumieni mbwa wa usasi au wa police kuwa tafuta makaazi yao.
    mbwa wana uwezo wa kunusa na ku gunduwa walipo.
    1
  • @
    @awadhirajabu77544 years ago Kwakua nyoka ni adui kwetu binadamu nisawa kabisa kumuua hata mungu alitupa ruusa ya kuwatwanga nyoka mpige kichwani isipokua nawe binadamukisigino chako nyoka sio mdudu mwema kamwe.
  • @
    @ummulkurthumabeid29144 years ago Duh hili sio la lishapea mtihn huu anwenza kula mtu jmn tuwe makini.
  • @
    @afropanorama47304 years ago Wapo kwenye makaazi yao. Sisi binadam ndo tunawafuata kwenye mazingira ya kwa kisingizio cha kujenga.
  • @
    @dr.ajeyfemed58954 years ago Kwann watu wa mali asili na wizara husika wasifanye animal control kuwataftia sehem wakawapelela kuliko kuwauwa kuna visiwa havikai watu zanzibar wapelekwe huko
    tunawahitaji hao wanyama.
    6
  • @
    @asrymohd66904 years ago Huu mwaka kiboko january jamaa kasema hajui mwezgani.
  • @
    @suleimanmazrui69424 years ago Hao nyoka nirafiki sana bora muwaogope ccm. 1
  • @
    @husnatgamaah13354 years ago Kwa vichaka hivyo lazima wawe wengi jipangen mpunguze hayo majani na mamiti yasiyo na msingi.
  • @
    @sabrinaislam42004 years ago Mdhirikiane wenyewe sio kila kitu serekali.
  • @
    @MahmoudAli-uk8ci4 years ago Pelekeni china biashara hio pesa nnje nje.
  • @
    @naimamwambe80834 years ago Jamaa ngosha untuangusha kwa nini usiwaite wa china watawatawavuna wote.
  • @
    @osmanha69154 years ago Sinunui tena kiwanja huko kaeni na machatu yenu.
  • @
    @muhammedabdalla54964 years ago Ni nyumban huko nasikitika kusikia ivyoo nawaombea kwa mungu awanusuru na wadudu wabaya km hao jp saiv sipo visiwan kwetu ila kisauni ni nyumban skuli yake ndio nilio soma toka la kwanza mkimbia kwao mtumwa.
  • @
    @amourmtungo6234 years ago Na ndio maana nilisema wangeitwa wataalamu kwa ajili ya kuwahifadhi. Chatu hana mwendo wa kasi kama nyoka. Binaadamu tuna akili zaidi ya chatu kwahio sio rahisi kutoroka kama wamehifadhiwa vizuri.
  • @
    @saidismailhamad32294 years ago Pumbavu serekali iache kazi ije kuua nyoka so si ata kwa bakoratu unauaa kila ktu eti serikali kuna mambo yakuita serikali ila sio nyoka pekeangu naua ata afike futi 30.
  • @
    @dr.ajeyfemed58954 years ago Ishu ni animal controlsio kuwapiga silaha waende wahamishwe maeneo mengine. 1
  • @
    @raiye56214 years ago Kila ki2 serekali kateni mamit yaso na umuhimu serekali itafanya mangapi. 4
  • @
    @tumabhay85764 years ago Kila kt serikali kwani wananchi wa eneo hilo hawawezi kushirikiana na kufanya usafi na kuwauwa au kupelekwa sehemu husika. Mambo mengine mepec si lazima serikali jamani.
  • @
    @IlhaamMarshed4 years ago Duh mimi naogopa jamn anaeogopa km mm subscribe kwenye youtube channel yng. 3
  • @
    @rukiamohammed50314 years ago Mji umezungukwa na vichaka mno fyeken vichaka hivyo kukiwa hakuna hivyo vichaka hamta ona mdudu yoyote wa aina hiyo daah mji utafikiri hawakai watu sa serikal iwasaidie nn zaid ya nyie kujiongeza polen pia daah nimeogopa.
  • @
    @amourmtungo6234 years ago Ilikuwa ni muhimu kuwaita wataalam kwasababu ni muhimu kwa makumbusho na kwa hifadhi ya hao chatu kwa sote watalii na kizazi kijacho. Chatu hana sumu ila . ...Expand 1
  • @
    @ramadhanisuru18224 years ago Msiwauwe maliyasili wako karibun nanyie.