Duration 18:37

EXCLUSIVE: Mchezaji wa zamani Simba akubali uwezo wa Miquissone afunguka Yanga walimtaka Jangwani

4 740 watched
0
28
Published 5 Mar 2021

Mchezaji wa zamani Klabu ya Simba SC Musa Hassan Mgosi ambae kwa sasa ni Kocha mkuu wa Timu ya Wanawake Simba Queens amezungumzia maisha yake ya soka alivyokuwa ndani ya Klabu ya Simba baada ya kusajiliwa akiwa kijana akitokea shule ya Sekondari ya Makongo na kujiunga na miamba hiyo ya soka Tanzania na hakuweza kupata nafasi ya kucheza kwa wakati ndani ya kikosi cha Simba kutokana na Umri aliokuwa nao na wachezaji wenye majina makubwa aliowakutana ndani ya Simba SC. Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: /c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+ harakatizabongo #SimbaSC#Mgosi#Yanga#Modewji#

Category

Show more

Comments - 2