Duration 5:36

Magoli yote Ruvu Shooting walivyoisambaratisha Mwadui 5-1 - (VPL )

19 522 watched
0
99
Published 21 Apr 2021

RUVU VS MWADUI: Maafande wa Ruvu Shooting wameibutua Mwadui FC kipigo cha 5-1 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani. Magoli kwenye mchezo huu yamefungwa na Edward Charles Manyama, David Richard, Shaban Msalla aliyefunga mawili na Abrahmana Mussa wakati goli la Mwadui likifungwa na Mohamed Hashim. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 19