Duration 3:50

MPOMBEYE PATRICK CLEOPHACE: Mbunifu wa mtego wa kunasa panya waharibifu mashambani - SUA

Published 13 May 2021

MPOMBEYE, PATRICK CLEOPHACE Kutoka SUA Pest Management Centre (SPMC) ya Sokoine University of Agriculture (SUA) amebuni Mfumo wa kuzuia na kunasa panya ‘trap barrier system (tbs)’ kwa ajili ya kudhibiti panya na madhara yake kwenye mashamba ya mpunga ambapo kwa maelezo yake mfumo huo rahisi umeweza kudhibiti uharibufu wa panya mashambani kutoka asilimia 13% hadi 1%. Kwenye video hii fupi, Mr. Mpombeye anaeleza namna mfumo huo aliobuni unavyofanya kazi (Lugha iliyotumika ni Kiswahili)

Category

Show more

Comments - 3