Duration 2:2

Waziri JAFO Ashtukiza kwenye Ujenzi Injinia sidanganyiki mimi

1 599 watched
0
9
Published 27 Dec 2018

Waziri JAFO Ashtukiza kwenye Ujenzi "Injinia sidanganyiki mimi" Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi ,Selemani Jafo Amefanya ziara katika kijiji cha chamwino ikulu na kukagua barabara za mji huo na kuwataka maafisa wa Tarura kusimamia ujenzi wa miundombinu hiyo kwa kuwa yeye anatembea na tape atapima mwenyewe kujua ubora wa barabara. #WAZIRIJAFO Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK /watch/wGU4LG4 .

Category

Show more

Comments - 1