Duration 25:37

MPINZANI wa LEMA Arusha HUYU HAPA, Atangaza NIA ya KUGOMBEA UBUNGE Kupitia CCM

14 736 watched
0
71
Published 19 Jun 2020

MPINZANI wa LEMA Arusha HUYU HAPA, Atangaza NIA ya KUGOMBEA UBUNGE Kupitia CCM... Joto la Uchaguzi mkuu limeanza kupamba Moto Katika Jimbo La Arusha, Kada Wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni mwandishi wa Habari, Victor Moshi, amekuwa mgombea wa kwanza kutangaza nia ya kuchukua fomu ya chama hicho ili kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama ili apate ridhaa ya kugombea ubunge katika jimbo hilo ambalo kwa sasa linashikiliwa na Mbunge wa Chadema, Godbless Lema. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 75