Duration 3:22

UJENZI WA BANDARI YA NDUMBI KATIKA ZIWA NYASA 2021

277 watched
0
3
Published 26 Nov 2021

Kutana na wataalamu mbalimbali kutoka katika mradi mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Ndumbi (Ndumbi Port) katika ziwa Nyasa, waliojitolea kuelimisha jamii kuhusu kazi na kutoa ushauri kwa vijana wa Kitanzania kuhusu mambo mbalimbali ya kimaisha. Bandari ni kwa ajili ya kusafirisha makaa ya mawe ambapo meli kubwa za mizigo pia meli za abiria zitakua zikifanya kazi. Naamini kuna mambo mazuri kuhusu kazi za bandarini au bandari na maisha utajifunza hivyo karibu sana katika channeli hii ya @Quotes24life pia usisahau Ku-Subscribe ili kuendelea kupata videos nzuri kwa wakati. Jiunge nami hapa ▶️ Channel ya YouTube /quotes24life (Subscribe na bofya alama ya kengele) Links ya videos nyingine /watch/0fuDnPrwY59wD Page ya Instagram https://www.instagram.com/quotes24life Page ya Facebook https://www.facebook.com/quotes24life/ Page ya Twitter https://twitter.com/Quotes24life?s=09 #ujenziwabandari #Bandariyandumbi #Ndumbi #Kazinamaisha #Ndumbiport #Quotes24life #Melikubwa #Meliyamizigo #Meliyaabiria #Ziwanyasa ***Music in this video*** Hopeful Freedom - Asher Fulero (Downloaded from YouTube Audio Library)

Category

Show more

Comments - 0