Duration 11:24

Dakika 10 Za Maangamizi : Chid Benz | Planet Bongo

533 173 watched
0
4 K
Published 6 Jul 2017

Chid Benzi ame free style kwa dakika 10 za maangamizi ndani ya Planet Bongo ya East Africa Radio bila kuchoka na kutoa mistari kichwani hapo hapo.

Category

Show more

Comments - 690
  • @
    @dangotesam98457 years ago Dah! Bila kukaka kimya wala kuchanganywa na beat aisee! I' m happy to see that chuma is truly back, sober n stronger! You really mean alot to east africa. Keep it up mtoto wa ilala. 13
  • @
    @qurayshsued28436 years ago Kila cku lazima nipitie hii video kama unamkubali chid gonga like tukae sawa. 211
  • @
    @vahyregan84245 years ago Big up chid b' ooh much love to you. You' re the best. 18
  • @
    @hamadtv294last year Kama yupo anaesikiliza hizi freestyle lines 2023, basi nasikiliza naee. 29
  • @
    @juniotozman29763 months ago 2024 and still one of the best freestyles so far. 1
  • @
    @frankkimani6 years ago Thats real free style. Keep up king kong! 15
  • @
    @fedrickwilliam17217 years ago Chid benz is a best freestyle alive in tz and east africa as well, type like if you agree. 31
  • @
    @user-mi2bu6vx1u6 months ago Freestyle kwa dakika 10 IS THE REALLY G.O.A.T 1
  • @
    @amosnasiali72066 years ago Hii ni chumakali aiseh. Jamaani after 10mins. +254 tunamtambua chidi. Kama imefanya ucheke gonga like apa. 72
  • @
    @Mbugokilonda7 years ago Mimi nasema hana mpinzani huyu jamaa kwenye frestail, nani anabisha; nakama unamkataa juwa wewe ni mchawi tu! 48
  • @
    @sedekianjalle34115 years ago Huyu ndo mkali kama unamkubali gonga like! 2
  • @
    @simonmwangi10575 years ago Niko hapa April 19 nimekuja kuwakilisha +254 tunakubali sana chid Benz king wa rap true freestyle 41
  • @
    @goodluckmrosso4866 years ago Mungu msimamie huyu kiumbe wako aitendee haki talent yake. 4
  • @
    @donprince97525 years ago Kaka sio mpaka ufe ndo wakupe cheo ngwair(rip)we ni mkali wa freesyle kuliko wote waliotokea. 23
  • @
    @davidndomba10687 years ago Hahahahhahahaa chid bhanawaendelee kuponda ila ukwel haukwepekisana. 47
  • @
    @tenten93683 months ago Kama yupo anaesikiliza hizi freestyles 2024 basi nasikiliza nae.
  • @
    @justineemanuel127last year Ni 12/3/2023. Still on fire
    ni kipaji kitupu. Ana enjoy anachofanya.
    2
  • @
    @michaelassenga92407 years ago Hii ndio freestyle bhana, mnaomchukia mkajinyongee. 142
  • @
    @nsajigwaelly48437 years ago King nimembatiza kuanzia Leo Chidy Benz ndio king baada ya kiti hicho kuondoka na Marehemu MaGwAir Ameamua kumrudishia Mchizi Wake Poa % .. 45
  • @
    @dohabisophicateqatar17427 years ago Chidi mzuri kbsa lkn uraibu maskini mungu amtoe kwenye hilo janga. Una weza mzee mzima. 13
  • @
    @mwafrikabarz45077 years ago Uwiii
    frestler technique was back again
    gonga kama unamkubal huyu techiquer.
    86
  • @
    @richmontanna79347 years ago Kenya we blv chuma is da best kwa freestyle salute. 24
  • @
    @issaramadhan-bd2sulast year Jamaa ni moto hakuna mtu anamueza tz big up man. 2
  • @
    @mrchefamour19875 years ago Kama bado yupo anaeskiliza hii free style ndan ya 2019 niko pamoj nae. 34
  • @
    @benmsonganzila80697 years ago Linapokuja suala la freestyle, chidy benz hana mpinzani kwenye hilo. 128
  • @
    @johtv90527 years ago Uuuu n mwambaa kweli dar es salaam bila chid benz amna ktuuu. 7
  • @
    @ibneidmood42633 months ago Kama yupo anayesikiliza free style 2024 basi tupo wote haap.
  • @
    @sharifibrahimu84044 years ago The best freestly. Dah jamaa anajua anajuaa. 2
  • @
    @issaramadhan-bd2sulast year Yaani beat zote chindi ameua mbya sana uko juu man. 1
  • @
    @faugomstaarabu98337 years ago Huyo ndio mkali wa freestyle hii nchi akuna kama hyu jamaa. 110
  • @
    @kingpablojr81755 years ago 26 dec 2019 still kitu ni. Nani uko anaangalia 10 za maangamizi agonge like! 4
  • @
    @samwelsebastian5 years ago Freestyle machine!!
    Hiki kichwa kinabalaa dadeki
    Kuna muda inabidi ukweli uwekwe wazi
    5
  • @
    @gungmic42187 years ago Chid upo vizur mleten rayvan tumsikie na yeye japo anaimba ckuiz. 18
  • @
    @kibwamoko22077 years ago Haya ndo mambo tunayoyataka katika freestyle, hatutak mashair ya kuandika. Umetixha brother chid. 9
  • @
    @arsenemuhindotv41757 years ago Oh my god kumbe ukonamnahivi nimekuelewa chid b. Leo nimekukubali mkali wangu. 2
  • @
    @Memes_Swahili7 years ago My best freestyler ever, uwezo wa kufikiri umepungua kidogo ila umeua sana mzee. 5
  • @
    @mikentoga4 months ago Oyooo mwamba sana naelewa naelewaa salute kwako.
  • @
    @milithonabedy75685 months ago Akuna rapa atakae kuja vunja hii rekod. Kwanza zimepigwa bit nying, kila biti inamistari yake. Bila kuchoka bit inatendewa haki no kurudia mistar. Mpaka jingo imepewa mistar. Kam umeelewa gonga like.
  • @
    @josephkingumbi38277 years ago Chid benzi ameshindikana yan ni non stop. Hahahahah wangeongeza dakika ziwe 15 ili tuendelee kupata radha and that is what we call it freestyle nasio kurudio kuimba nyimbo zisizokuwa namaana. 52
  • @
    @emmanueldastan91573 years ago Daah mm ni wagospel lakin tangu 2019 mpaka sasa nachekaga tu kwa hii freestyle. 1
  • @
    @samsonmgelwa15796 years ago Respect to yah broo
    hii ndio maana halisi ya kipaji.
    3
  • @
    @rosemangale81776 years ago Nakukubali sana na freestyle zako chuma chidbenz. 3
  • @
    @husseinkaoneka58344 years ago Hyu jamaa kichwa sema tu cjui anayumba wap asee, kila cku lazma niiangalie nikiwa ofisini, gonga like hapa kama unamkubari benz the chid.
  • @
    @enockngendakuriyo67595 years ago I' m still watching this non stop 2019. 11
  • @
    @blackflavour4555last year Duuh king koong mkali wa kazi hizi 2023.
  • @
    @samsonmasha78917 years ago Long live chidi benz number one rapper in bongo yes back in the game no one like this guy. 7
  • @
    @geofreympwani4576 years ago No one like u king kong ww ni nomaaa braza. 1
  • @
    @aproluckas48435 years ago Chid brother mistali yako nakubali kiujumla kazi yako naikubali sanaa chid.
  • @
    @lundaboytz49123 years ago Hii mbwa ina kipaji sana big up my brother.
  • @
    @Hb_superboy5 years ago Namkubali sana chid wengine kwenye dakika kumi hua wanakuja wameandika verse kwenye sim big up chid benz. 1
  • @
    @faridapatel88147 years ago Kijana mwenye talent. Usirudie kaka wewe ni bro mwenye roho nzuri sana. 1
  • @
    @norbertmassawe18197 years ago Kama ngwair yan uko vzr bro dah wakuache mteja wangu. 1
  • @
    @nkurunzizarichard78433 years ago 2021
    bado nasikiliza hiyi dudee kong nakubali sana chid.
  • @
    @sudmdau84413 years ago Daa chid benzi umetisha sana mkuu ila bangi utaacha lini kaka mbavu zangu2. 1
  • @
    @jrwizzy18836 years ago Kwl huyu jamaa fundi ana zeeka na ufundii wakee dah ninomaas sanaa.
  • @
    @geophreyjoseph87377 years ago Chid benz king of the freestyle in dsm. 55
  • @
    @nofatwamasha34752 years ago Mbora rap rahisi tu, nadinda narinda natinga natimba naminya namimba, kuna sehemu kama vile mhubiriking kong. 1
  • @
    @festontandu17477 years ago Kiukweli huyu jamaa ni noma ana pumzi balaa ila ufalme wa freestyle tulishampa ngwair, chid upo vizuri tunakusapoti broo. 45
  • @
    @ben_madelemo747 years ago Akuna kama chid tz nzimaa kwaa michano bado cjaona mwengnee. 2
  • @
    @emmanuelbrassy4000last year Hili ni shetani la freestyle noma bro makwiro.
  • @
    @mtokambali23207 years ago Alipofariki mkali albert mangwair niliumia ila baadae nilimtazama chid nakusema kwamba free style bado inaishi. Go chumaaa. 2
  • @
    @jackspyro61153 years ago Nani tena kamcheck chid 2021, baada ya miaka minne bado moto mkali.
  • @
    @josephkamwezi90595 years ago Ukimtoa gwiji mangwea namkubali sana chid.
  • @
    @amosmwakapesa85406 years ago Jama mkali mungu bariki huyu mtu amina.
  • @
    @musicandfootballfans33687 years ago Wapi diamond alete zake karanga mamae wameikataaa. 24
  • @
    @tigerdavid57535 years ago Kaka weye ni kisu kinye kamali sana. Akuna kama weye bongo nzima kwene kushana.
  • @
    @BigirimanaF16 years ago Respect guys for your dakika kumi za maangamizi. 2