Duration 9:39

NENO MOJA-Kwaya Mt.Fransisko Exavery-Nkome Geita (Official Gospel Video-HD) -tp

3 179 659 watched
0
4.5 K
Published 1 Jun 2019

WAIMBAJI: Kwaya Mt.Fransisko Exaver-Nkome Geita WIMBO: Neno Moja KINANDA: C.Yohana Luseba AUDIO: Tripple J Records VIDEO: tanganyika productions Huu ni moja ya wimbo kati ya nyimbo 9 zilizopo katika Album ya pili ya Kwaya Mt.Fransisko Exaver-Nkome Geita YouTube /channel/UCySBNDsl7Y7CKhi7-czwX6A Facebook https://www.facebook.com/Tanganyikaproduction/ Instagram https://instagram.com/tanganyikaproduction?igshid=1a4vhzphh5zsg Twitter https://twitter.com/TanganyikaProdu?s=09

Category

Show more

Comments - 422
  • @
    @fikileramaisa29964 years ago Yes show the world how to praise god. Be blessed even more. U sing very nice. I' m from lesotho. 4
  • @
    @patricktuseko795 years ago Every day, that' s why i' m proud to be a catholic. Asante sana wazazi wangu kunifanya nizaliwe mkatoliki. 4
  • @
    @bisekojmafwele27775 years ago Hongereni sana wanakwaya wa kigango cha nkome. Nyumbani pamenoga. 5
  • @
    @mariadasgracasgomesrocha57465 years ago Muito lindo, parabns, e que deus os abenoe! 5
  • @
    @elizabethmwandu69375 years ago Wawo kigango cha nkome geita mungu awabariki sana kwa kutuinjilisha kwa njia ya uimbaji. 4
  • @
    @leoodongo6905 years ago God bless this choir
    i am really proud to be a catholic. Long live mt. Fransisko exavery kwaya.
    3
  • @
    @bahatimarco40942 years ago Hongereni sana kwa album yenu ya neno moja mmependeza sana. 1
  • @
    @augustekote20675 years ago Je vous aimes que le seigneur soi tjrs avec vs! 2
  • @
    @josephsimiyu88643 years ago Mmempoteza mkatoliki mwenye imani kubwa sana. Mungu na awake nguvu watanzania. 1
  • @
    @zeinoalves98873 years ago Estes conjuntos africanos nos encina outtra manera de servr ao senhor con alegria e amr nos coraoens no bata s cantar fsazer ns sentir a verdadeira unao do senhor atravs do louvor. 1
  • @
    @margaretwangui29123 years ago Beautiful voices i like your way of singing baraka kibao. 1
  • @
    @josephinegravasiano88605 years ago Hongereni watumishi wa mungu mkuu. Kazi nzuri. 4
  • @
    @lugagamkangara73644 years ago Hongereni wapendwa mungu awaongezee hizo karama za uimbaji. 2
  • @
    @anngrace73185 years ago Mungu azindi kuwapa nguvu mzindi kufaya kazi yake. 5
  • @
    @cheriesunlight99203 years ago Hakika mungu awabariki sana.
    nina farijika ninapokuwa nasikiliza nyimbo zenu kwani mimi ni mjanr.
    1
  • @
    @lydiakerubo54875 years ago Be blessed as you bless others with your songs. 3
  • @
    @williamsabaya89174 years ago Excellent arrangement and graceful body movement of choir members worthy of being emulated by other choirs. 1
  • @
    @barnabasshemelelwa57304 years ago Mbarikiwe wanakwaya, muimbieni mungu siku zote. Mungu awatangulie na kuwafariji ktk kila jambo!
  • @
    @merdelusloventa36645 years ago J' adore cette chasson hati and africa. 1
  • @
    @jescatumaini98525 years ago Mnaimba vizuri mungu anajua jinsi ya kufidia muda wenu mnatumia kufanya zoezi mpaka kutoa halbam hiii. 5
  • @
    @emilykayanda65465 years ago Kigongo cha nkome geita tanzania hongereni kwa kazi nzuri. 6
  • @
    @ernestsibote71985 years ago Asante sana kwa kazi munayoifanya nawapenda sana hongera kwa nyimbo nzuri. 3
  • @
    @franciscakerubo35874 years ago Best of the best on earth king of kings bless them. 4
  • @
    @glenfordsmart32225 years ago Very beautiful song i wish i could have understand the language i am a canadian african. 4
  • @
    @caxkogoty45304 years ago Nimeipenda xana mblikiwe xana watoto wa mungu. 3
  • @
    @mifreap284 years ago Good job glory of god bless name of god. 2
  • @
    @ngendakumanazarbabel88785 years ago Mubarikiwe ninyi nyote mnaimba vizuri sana mnatufurahisha. 2
  • @
    @sylivesterchristopher46805 years ago Hongereni sana kazi nzuri wazazimmejua kunifrahisha hizo sauti. 4
  • @
    @jonathanntare47875 years ago Hongereni sana kwaya nkome
    excallent.
    3
  • @
    @marymushi79234 years ago Nabarikiwa kwa nyimbo nzuri kwa kweli. 1
  • @
    @lussluss88574 years ago Nikiona kwaya napagawa kwel maana napenda kuimba kwaya. 1
  • @
    @nellyakash89745 years ago Good bless you choir. But i wish i was understand your language i' m from s. A i like your music. 2
  • @
    @rozaliewalumona86043 years ago Mungu awabariki sana kumfanyia kazi kwa bidii sana.
  • @
    @eliasjuma59245 years ago Mbarikiwe kwa xaut nzitooo, kwel katoliki ntabakia milele. 2