Duration 4:12

'Nilikua Mwanafunzi ninayepigwa mno darasani'- Idris Sultan

96 777 watched
0
626
Published 6 Dec 2016

Mchekeshaji na mshindi wa Big Brother Afrika 2014 Idriss Sultan amezungumza na AyoTV kuwa aligundua kipaji chake cha kuchekesha akiwa shule ya msingi ambapo mwalimu akiwa anafundisha yeye anachomekea maneno wanafunzi wanacheka akawa anapigwa sana darasani.

Category

Show more

Comments - 41