Duration 29:26

MUAMMAR GADDAFI: Rais Aliyeuawa Kama Kuku / Kazikwa Kusikojulikana

344 922 watched
0
2.5 K
Published 10 May 2019

MUAMMAR GADDAFI: Rais Aliyeuawa Kama Kuku / Kazikwa Kusikojulikana! Tangu Libya ipate uhuru ile 24 Desemba, 1951 wenyeji walibakia kuchunga mbuzi na ngamia huku wageni wakichimba mafuta na kwenda kujenga Ulaya na Marekani. Kuzaliwa kwa Gaddafi katika mwaka na mwezi usiojulikana ilikuwa ni ukombozi wa Libya na watu wake. Huyu bwana alizaliwa katika kabila la watu wasiojua kusoma na kuandika hadi kushindwa kurekodi kumbukumbu zake. MUAMMAR GADDAFI: Rais Aliyeuawa Kama Kuku / Kazikwa Kusikojulikana! MUAMMAR GADDAFI: Rais Aliyeuawa Kama Kuku / Kazikwa Kusikojulikana! #LIBYA #HISTORIAYAGADDAFI #MUAMMARGADDAFI www.youtube.com/watch/N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 503