Duration 27:13

LIVE: SIMBA SC Wafanya DUA MAALUMU ya KUOMBEA TIMU, MSIMU UJAO TUNACHUKUA UBINGWA ASUBUHI TU

16 902 watched
0
119
Published 16 Aug 2020

🔴#LIVE: SIMBA SC Wafanya DUA MAALUMU ya KUOMBEA TIMU, "MSIMU UJAO TUNACHUKUA UBINGWA ASUBUHI TU"... KLABU ya soka ya Simba, leo Agosti 16, wamefanya dua maalumu ya kuombea timu yao baada ya kuwa na msimu wenye mafanikio makubwa... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 38
  • @
    @amanifadhili68844 years ago Mungu ibarki simba na viongozi wa simba pamoja na mashabiki. 1
  • @
    @suliathuman15654 years ago Allah ijalie kheri simba sc waweze kufika mbaliwalioshiriki ktk dua hii naima. 1
  • @
    @eliasnyondo21674 years ago Mungu ibarik timu ya smb sc uwatie baraka na hekma viongoz wachezaj wanachama na mashabiki wote. Timu iweze kufanya vizur club bingwa afrka.
  • @
    @nyamogatv19544 years ago Viongozi wetu wa simba mnakosea sana mnabagua dini
    kila mwaka simba inaombewa kwa iman ya kiislam tu
    kama simba niya waisilam twambien tujue.
  • @
    @namchokondasaid98664 years ago Duu sijawai ona dini yetu ikidhalilishwa kama ivi kweli mashehe nyinyi muraaniwe munaichezea dini kwenye mpira kweli.
  • @
    @stephanochungu59594 years ago Waisilam tu ndoo wenye simba yao au maana kila mwaka ninyinyi tu nasie wa kristo mnatuweka wap.
  • @
    @ibrahimkadibo8104 years ago Wafanye na wao maana simba imelukisha tamasha lao simba day na wao wamerukisha.
  • @
    @emanuelmakalwe54154 years ago Hv hakuna mashabiki wa simba wa dini zingine. Wakiona hv wanajisikiaje. Au pengine dini zingine zimewekewa utaratibu mwingine? 2
  • @
    @jumannemihayo55174 years ago Manara wewe hatutakubali ustaafu usemaji bado tunakuhitaji sana kuliko unavyofikiria kwahiyo we piga kazi hakuna kustaafu simba. 1
  • @
    @marryriwa24354 years ago Mola awe nanyi timu yangu kwa kila jambo liwe jema.
  • @
    @zaibani_technology_company95194 years ago Njia nzuri ya kufanya video promo ni digital marketing, online
    advertising compaign, logo designs, kwa msaada zaidi tufollow twitter @t.
  • @
    @pauljulius82824 years ago Utaratibu huu simba wameferi inamaana timu niyawaislamu tu hii atari.
  • @
    @mohamedsalim98154 years ago Yani asiv binadamu tunafika pabayamungu kwenye mambo ya kishetwan msiba mkubwa huu mungu awalaan wooote mulioshiliki kwenye ushenzi huu.