Duration 3:51

TASWIRA KIMATAIFA : Misri kuivamia Libya, Wapinzani Mali wapinga kuundwa serikali ya umoja

65 watched
0
3
Published 21 Jul 2020

Bunge La Misri Limeidhinisha Mpango Wa Serikali Ya Nchi Hiyo Wa Kuivamia Kijeshi Nchi Jirani Ya Libya. Taarifa Zinaarifu Kuwa Bunge La Nchi Hiyo Jumatatu Lilifanya Kikao Cha Siri Na Kumruhusu Rais Abdel Fattah El Sisi Kutuma Wanajeshi Wa Kupigana Vita Nje Ya Misri. Kwingineko, Wapinzani Nchini Mali Wamekataa Pendekezo La Jumuiya Ya Kiuchumi Ya Nchi Za Magharibi Mwa Afrika ECOWAS La Kuundwa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Nchini Humo Kama Njia Ya Kuhitimisha Mgogoro Unaoikabili Nchi Hiyo. Wapatanishi Wa Jumuiya Ya Kiuchumi Ya Magharibi Mwa Afrika (Ecowas) Walikuwa Wamependekeza Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Iundwe Nchini Mali Ili Kutatua Mgogoro Wa Kisiasa Ambao Uliibuka Nchini Humo Baada Ya Uchaguzi Wa Bunge Wa Machi 2019. Tafadhali bonyeza SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #MaliProtests #EuropeanUnion

Category

Show more

Comments - 0