@mwanakhamissaid7162 years agoMm nko n mimba ya 7wks n nahis kiungulia na matiti yamevimba n mate kujaa mdomon cjihis vizuri yaani naskia kuchoka mwili mzito shida nn. 1
@
@mwanaidiwalii13192 years agoMm nimeingia period tareh 8/2/2021 then nikafanya tend la ndoa tarehe 28/2 je nauwezekan wa kupata mimba@.
@
@esthergaspar28245 months agoHello doctor me nilingia p tarh 31 nimend siku tan sk y sab nikashilik tend nitakuw sw.
@
@user-oo4hb6lv8m4 months agoDoctor mm naingia priodi 6, 7, 8, je nilkifanya mapenzi siku ya tatu naweza kupata mimba.
@
@dorahmassawe22353 years agoKama unaenda siku saba adi siku nane uwo nimzunguko utakuwa wasiku ngapi. 7
@
@user-sh3ps2ug7d10 months agoMm naingia tarehe 28 je tareh za kubeba mimba nizip.
@
@lucymwaipungu8931last yearDoktya mimi nimeanza skuzaku zaheth leo tale 2/3 skuzangu zahatyali nizipi.
@
@BhokeKambarage4 months agoHivi ni kwann ukishiriki kwenye tendon la ndoa unakaa ndani ya dakika 2 hivi hizo mbegu za kiume zinatoka nje na huwa ni nyepesi sana.
@
@philomenajames32663 years agoSante kwa somo hili lkn kuna wengine tarehe zao ni za kuyumbayumba.
@
@JuliaNsanze-un8ys5 months agoMimi tarehe zangu haziereweki naingea p siku 5 naweka siku 5 tena zinakua kumi harafu naweka siku 8 zahatari sijawahi kupata mimba huu ni mwaka wanane sijawahipata mimba.
@
@adozabron96833 years agoUkishiriki tendo la ndoa ukiwa siku ya kumaliza siku zako mtu anaweza kupata mimba. 3
@
@humphreyisaya60033 years agoJaman kabla mwanamke hajahaza kutokwa na damu sikutatu mbele alafu akahaza kutokwa na hedh hapo anaweza akawa na mimba. 6
@
@marymhinda84322 years agoNa wenye mznguko wa siku 38 siku ya hatari ni ip?
@
@rosebonny97002 years agoJmn mm nimeanza kuona siku zangu tare 4 na tano na sita nikamaliza siku tatu tu na kaa sikungapi ndo nibebe mimba maana sijakutanane mpaka sasa.
@
@juniojackson14062 years agoNimeanza 26 nmemaliza period tare 31 sikuzang za hatati zip.
@
@leahzabron-1450last yearMambow, mm na swali siku ya hatar unatakiwa kufanya mara ngp ndo mimba iingie.
@
@wemazai83582 years agoHz sik unahesabu vip kwamb mzunguko ulivyo.
@
@yusrakhamis67582 years agoJe unaanz kuhisabu sikuyakutok hedhi au kuingia.
@
@rassoosidi73889 months agoMimi nilisex jana n mtu wangu je naez pata ujauzito juu nilinyesha 29 mpka date 5 n sikuonana n yy mpka jana je naeza pata ujauzito bt nilikunywa p2. 1
@
@anastasiabenjamin247310 months agoNaomba kuhuliza kama mwanamke hukiwa humeshika mimba alafu hukashiliki mapenzi na mwanaume hambae mbegu zake niafifu he mimba hinaweza kutoka.
@
@user-dw7ou2ir9z4 months agoKama akiingia siku tatu inamaana siku ya hatali utaanza kuhesabu siku ya nne au.
@
@neemandoghwe88752 years agoNimemaliza period tarehe 18 nikaja kusex tarehe 8 je naweza kupata mimba.
@
@mwajumamustapha34362 years agoSamahan mm nime kutan na mr siku za hatal hala baad ya wiki mbil nilikua nikion dalili zamimb halaf napiam najikut sin.
@
@eliangalla89022 years agoTarehe9-hadi11siku gani au tarehe ipi in hatali yaani kuna uwezekano wa kupata ujauzito?
@
@marymercimutua95023 years agoNa period ikija like 4 day' s, then iruke 2 days, ikuje tena like 1 day or 2 days, iyo uwa mtu ako kwa hatari?
@
@najmavuai74282 years agoHizi sik za kurud rudi nyuma inakuwanje.
@
@gracekibena16382 years agoKuna wengine wanasema siku za hatar ni sik tano kabla ya damu na siku tano baadae ya damu, ni kweli doctor. 9
@
@eliangalla89022 years agoTarehe 9 hadi 11 ndo anaenda mwezinii siku hatari ni ipi ambayo anaweza kupata ujauzito.
@
@martharhobi45639 months agoMm ninaona siku za talehe 21 ninaomba nijuwe siku ya kushika mimba.
@
@rehemaseleman-gb7rglast yearDocter mie niliingia kwenye hedhi tarh 8. Siku zahatar nikasexy siku ya 18, 19, 20, 23, je nitakua niko sawa? Sijakosea? 6
@
@janethdonart5842 years agoNataka kuuliza mm nikmalzaga kufanya tendo znapta kama dk2 unaona shahawa znatoka nying2 kwann nahpo naweza kupata ujauzto. 10
@
@emmyclaud77412 years agoNimeingia period tar 26/01/ had tar 29/01/ afu huu mwez unaixhia 31 pia nkashiriki tendo la ndoa 03/02/ naweza kupata mimba. 1
@
@huqmannchimbi52963 years agoKama mwanamke mwenye? Siku 37 inakuwaje.
@
@sakinamasudi90233 years agoSamahani doctor mikila ikifika tarehe 15 lazima niingie kwenye siku zangu naninafanya kama unavyo elekeza ila sijapata mimba naomba unisaidie. 1
@
@PauloFrank-kj6xq11 months agoJe nikilala nayetarehe 6 mpaka 10 arafu tarehe 11 anaweza kupata ujauzito. 1
@
@sultanbadran25222 years agoUkitoka siku ya periad ambazo mwanamke anaingia siku 4 siku ngapi mbeleni ukiingia tendo la ndoa zinakua ni salama? 3
@
@dinnahjumanne2002 years agoNaomba kuuza siku ya kumi siwezi pata ujauzito.
@
@omaribenjamin-965last yearHizi tareh 26 mpaka 30 hapo siku ya hatal n siku gan.
@
@shamsachuga36812 years agoJe kwamfano nikifanya mapenzi wakati nimetoka tu kwenye mzunguko tabeba mimba. 2
@
@agneskivike95823 years agoHizo siku 2 ambazo unatakiwa kuzitoa kabla ya siku za hatari ni ipi na ipi. 2
@
@mapenzimumbere59463 years agoTushiriki tendo maragapi siku yahatari ili mimba udaki. 4
@
@everlyneiminza57223 years ago35 kwani kuna mwezi unaopitiliza adi 37. 2
@
@amediuskipera48334 years agoSomo muhimu sana kwa wanandoa! kwa makala mbalimbali za mambo yenye mafunzo na ya kusisimua, bonyeza chaneli hii ya dunia duara. Thank me later! 8
@
@happymangia76762 years agoMimi nimeona period tarehe 13 mwezi wa 8 nkamaliz tareh 16 nkalala na mwanaume tareh 3 na 4 je naweza kupata mimba.
@
@hamissinyamberelast yearNa mimi tare zang kuw zinabadirik san nafany.
@
@RehemaJuma-lx2qo9 months agoNmetoka hedhi halafu nkafanya mapenzi siku ya 8 je naweza pata ujauzito.
@
@takyatupu68393 years agoHello doctor mimi nimepata damu tarehe 22 mpaka tarehe 27 nikafanya sex tarehe 3 mpaka tarehe 5 hp ikoje nasubiri damu yangu tarehe 15 lakini nakojoa sana maziwa yameja kwa mbali vp hp ikoje doctor.
Related videos for Siku hatari za mwanamke kushika mimba:
kwa makala mbalimbali za mambo yenye mafunzo na ya kusisimua, bonyeza chaneli hii ya dunia duara. Thank me later! 8