Bendi ya Mjengoni Classic hivi karibuni ilifanya onyesho la kihistoria jijini Dodoma na kuwapa burudani ya ukweli mashabiki wa muziki wa dansi. Onyesho hilo lililoandaliwa na bendi hiyo ili kuwaweka mashabiki wao karibu zaidi. Mashabiki kwa kiwango kikubwa waliielewa sana show hiyo.
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for MJENGONI CLASSIC BAND WALIVYOITEKA DODOMA: