Duration 17:19

INAUMIZA Baada ya kukatwa Ulimi, Saratani yatoboa Shingo | Chakula kinatoka | Mkewe aomba msaada

8 658 watched
0
39
Published 23 Oct 2019

Mgonjwa wa saratani kwa miaka sita, amekatwa ulimi, sasa imesambaa na kumtoboa shingo, anakula kwa mateso, haijui kesho yake, Mkewe aomba msaada wa kupata mtaji wa kufanya biashara ili kujikimu na kumsaidia mgonjwa.Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24Mkasa #Saratani

Category

Show more

Comments - 25
  • @
    @macleanmwaijonga71375 years ago Ama kweli haya maisha huwezi jua kesho yako. Mama kwakweli umejitahidi sana kumtuza mzee - mungu atakupa thawabu kwakweli una moyo wa kipekee. 6
  • @
    @daifaibrahim19754 years ago Mungu akuzidishie subra dada, mung atakulipa ujira wako.
  • @
    @mozasaid38695 years ago Pole sana dada mwenyezi mungu azidi kukupa imani na subra katka mtihani ulionao, 1
  • @
    @saidmakumlo89305 years ago Pole sana dada angu allah atawafanyia wepesi maradhi ni ibaada. 3
  • @
    @shanimbaruku20715 years ago Pole mpenzi mungu azidi kukupa subra umlee mume wako ln shaa allah atapona. 2
  • @
    @nadiyakisho21785 years ago Dah jaman mateso unayo pitia kk namin allah atakupatia faraj innshallah utapon hongera mama kwa ujasir na huruma kwan niwachache sn wenye moyo km wk mungu wafanyie wepes. 1
  • @
    @promisesebirayi95654 years ago Pole sana mungu atakusaidia don' t give up just trust god.
  • @
    @Emedroadtocanada5 years ago Mwenye afya njema mshkur sana allah kwa vitendo vyema. 2
  • @
    @josephenmtau67235 years ago Pole sana katika jina la yesu mwenyezi mungu akufanyie wepesi.
  • @
    @sadiaabed66875 years ago Pole dada mungu akujaalie mlinde mumeo inshaallah allah atakulipa nikawaida kampuni haikujui kukitokewa na matatizo kama hao wanakujuwa ukiwa mzima.
  • @
    @nadiyakisho21785 years ago Hayo ndo mapenzi ya dhat ww ni mfano wakuigwa jaman hongera ten mama. 3
  • @
    @khatibabdallah61855 years ago Pole sana sheikh, mwenyezi mungu akufanyie wepesi upone.
  • @
    @halemakoke7275 years ago Insha allah mama kwa kutupa nguvu ss wanawk wenzio allah azidi kukup moyo huo ya rabbi mponye baba huyu.
  • @
    @chaumaraali82015 years ago Pole sana ndo mitihani endelea kuvut subra.
  • @
    @ringoaskali76255 years ago Pole sana unle utapona lakini kwanini serikali hamsaidii vipi wabunge wakuu wa mikoa mko wapi jamani msaidieni jamani. 1